Nguvu za kike

Nguvu za kike

Asili ya mwanamke ni mtu asiye na nguvu.

Hivyo kama hana nguvu hapo itakuwa ndo yupo katika asili yake wala haitajii dawa.

Kusema nguvu za kike ni kulazimisha tu.
Mwanamke ni mpokeaji wala haitajii nguvu ni kama mbebwaji tu anatumia nguvu gani kwenye kubebwa....?



Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,mwanamke anakuwa hana hisia kabisa za mapenzi
 
Back
Top Bottom