Kitang'wa1
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 460
- 285
Hello Wadau!
Ninatatizwa sana na hili suala, yaani kila kitakachofanyika, lazima kilalamikiwe MUDA. Mfano; Sherehe, Misiba, Tamasha, Michezo, Mikutano, Nyumba za Ibada, Vikao, n.k. Yaani utasikia muongozaji wa tukio husika Mc ama Kiongozi, anasema neno hili, TUPO NYUMA / NJE YA MUDA AMA WAKATI, yaani siku zote nikifuatilia hayo matukio, nasikia hilo la 'muda si rafiki'.
NI NINI SIRI YA HILI LA MUDA?!
Wajuzi wa Mambo karibuni tujadili sote hili.
Ahsante!