Sasa hao wa imani B wanahusikaje kwenye uzi wako?Jee taifa la mungu,kizazi teule,watoto barikiwa wa mungu wamekuaje tena??
Waziri wa kwanza anayeshiriki wazi mapenzi ya jinsia moja ateuliwa Israel
Mwanaume wa kwanza kutangaza wazi kuwa anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja ameteuliwa kuwa waziri na Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.
Amir Ohana, kutoka chama cha Natanyahu cha Likud , amemteua kama kaimu waziri wa sheria kufuatia kufutwa kazi kwa mtangulizi wake.
Bwana Ohana, mwenye umri wa miaka 43, ni mfuasi sugu wa Netanyahu , ambaye aliunga mkono hatua za kumlinda waziri mkuu dhidi ya kushtakiwa.
Uteuzi wake unakuja siku kadhaa baada ya bunge kuvunjwa kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mpya.
Bwana Netanyahu alimfuta kazi waziri wa sheria aliyekuwepo madarakani , Ayelet Shaked, miezi mitatu iliyopita.
Chama cha Shake ,ambacho kilikuwa sehemu ya serikali ya muungano wa Netanyahu, hakikupata viti vya kutosha kukiwezesha kurejea bungeni katiika uchaguzi wa mwezi Mei.
Waisrael watafanya tena uchguzi mwezi wa Septemba baada ya Bwana Netanyahu kushindwa kupata uungaji mkono wa kutosha kutoka kwa vyama kumuwezesha kuunda serikali ya mpito.
Ikitangaza utuzi wake, ofisi ya waziri mkuu ilisema kuwa Bwana Ohana ambaye ana taaluma ya sheria ni mwenye uelewa mkubwa sana mfumo wa sheria''
Bwana Ohana ni mfuasi sugu wa Netanyahu, na ametumia juhudi zake zote kuunga mkono muswada tata uliomuwezesha waziri mkuu aliyeko madarakani kuwa na kinga ya kutoshtakiwa.
Bwana Netanyahu anachunguzwa kwa madai rushwa na ufisadi na anaweza kushtakiwa miezi michache ijayo .Anakanusha vikali shutuma dhidi yake.
Bwana Ohanani mwanaharakati wa haki za wapenzi wa jinsia moja , ambaye anatetea ndoa za jinsia moja, jambo ambalo halitambuliki nchini Israeli isipokuwa kwa wale watakaoamua kufunga ndoa yao nje ya nchi . Mwaka jana apinga muswada wa sheria uliopiga marufuku ubaguzi wa wapenzi wa jinsia moja kwa kuzingatia utambulisho.
Ingawa haki za wapenzi wa jinsia moja zinapingwa na jamii ya Wayahudi nchini Israeli, kwa ujumla taifa hilo limekuwa na mafanikio katika kucommunity zenye sheria inayowalinda wapenzi wa jinsia moja .
My take:Wafuasi wa imani B kazi mnayo maana sasa sielewi kitabu chenu kikoje maana hawa ni watoto wa mungu kabisa
Source:BBC SWAHILI
Kumbe unasupport huo uchafu?Wewe kinachokuuma nini?
hili ndilo tatizo la waislamu mnataka watu wote wawe na imani kama yenu kitu ambacho daima hakitawezekana.
Israel sio religion state kama Saudia, Iran, Algeria n.k ni secular state ndio maana kuna amani
Siuungi mkono, lakini si kwamba Israel hakuna mabaya yapo mengi tu na haimaanishi yanafanywa na watu wote.Kumbe unasupport huo uchafu?
Haaaa kwahiyo sasa hivi sio taifa la mungu tens?Siuungi mkono, lakini si kwamba Israel hakuna mabaya yapo mengi tu na haimaanishi yanafanywa na watu wote.
ndio maana nikakupa taarifa sahihi kuwa Israel sio religion state ni secular.
iran kuna dhambi, Saudia kuna dhambi Tanzania kuna dhambi na kote huku kuna mashoga kataa sasa
Iran huwa inawanyonga hawa wanyamaSiuungi mkono, lakini si kwamba Israel hakuna mabaya yapo mengi tu na haimaanishi yanafanywa na watu wote.
ndio maana nikakupa taarifa sahihi kuwa Israel sio religion state ni secular.
iran kuna dhambi, Saudia kuna dhambi Tanzania kuna dhambi na kote huku kuna mashoga kataa sasa
Unaona laana hiyo, hivi mwenye jukumu la kuhukumu ni Mungu au mwanadamu? Hapa sizungumzii secular courtsIran huwa inawanyonga hawa wanyama
Iran publicly hangs man on homosexuality charges
Iranian media reported that the 31-year-old kidnapped two 15-year-olds.m.jpost.com
Israel ni taifa la kwanza duniani kote kuwa taifa teule la Mungu na wana wake walibarikiwa na hii kitu haijawahi kuondolewa na Mungu wala Nabii yoyote.Haaaa kwahiyo sasa hivi sio taifa la mungu tens?
Ndo haya mnahubiriwaga na wale Manabii wenu? ujinga kama huu hupaswi kuwaleza Great thinker, kawaeleze waumini wenzenu pale kitaa.Israel ni taifa la kwanza duniani kote kuwa taifa teule la Mungu na wana wake walibarikiwa na hii kitu haijawahi kuondolewa na Mungu wala Nabii yoyote.
Wakati mfalme Daudi akipambana na Goliath mtu wa mataifa aliuliza huyu mbwa ni nani ambaye hajatahiriwa zamani za kale wana waIsrael wote walikuwa wakitahiriwa na watu wa mataifa walikuwa wakiitwa Mbwa "Kunarion".
baada ya ujio wa Yesu hivyo vyote vikaondoshwa watu wa mataifa si Mbwa tena tuna.
israel ni taifa la ajabu sana brother limezungukwa na maadui lakini hakuna wanachomfanya wanamuogopa ayayaya yani pale ndipo miujiza ya Mungu ilipo.
kusini, kaskazini, Mashariki, Magharibi kote kazungukwa na maadui ila sasa hivi Saudia si adui tena ni Rafikihata Egypt si adui tena pale kuna kichwa kimepandikizwa Al-sisi Saudia Kuna prince salman
Kinachosikitisha ni kuwa Leo taifa teule linaanza kuongozwa na mashoga.Wewe kinachokuuma nini?
hili ndilo tatizo la waislamu mnataka watu wote wawe na imani kama yenu kitu ambacho daima hakitawezekana.
Israel sio religion state kama Saudia, Iran, Algeria n.k ni secular state ndio maana kuna amani
Si sawa kama ataleta siasa za ushoga kwa watu atakao waongoza na ni sawa kaka itabaki kuwa maisha yake binafsi aufanye yeye na mashoga wenzake.Kinachosikitisha ni kuwa Leo taifa teule linaanza kuongozwa na mashoga.
Wewe Dripboy unaona hili jambo ni sawa au?
Mtu yyt anaweza kuamua kuwa shoga na wengine isiwahusu wao lkn unapokuwa kiongozi tena ktk nchi ambayo inaaminiwa na wakristo kuwa ni taifa teule la Mungu basi mtu huyo lzm apigwe vita sana mpk aachie hio nafasi. La Sivyo kesho akitokea mchungaji Kanisani akiamua kuwa shoga hatutokuwa na haki ya kumkataa matokeo yake na watoto wetu pia watafuata huko huko.Si sawa kama ataleta siasa za ushoga kwa watu atakao waongoza na ni sawa kaka itabaki kuwa maisha yake binafsi aufanye yeye na mashoga wenzake.
Kumbuka Ni Taifa teule la mungu,au wewe hijakaririshwa hivyo mkuuWewe kinachokuuma nini?
hili ndilo tatizo la waislamu mnataka watu wote wawe na imani kama yenu kitu ambacho daima hakitawezekana.
Israel sio religion state kama Saudia, Iran, Algeria n.k ni secular state ndio maana kuna amani