Nguvu ya umma yamuondoa mkuu wa chuo CBE. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nguvu ya umma yamuondoa mkuu wa chuo CBE.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by samirnasri, Mar 20, 2011.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wafanyakazi wa chuo cha biashara waliunganisha nguvu kwa pamoja na kumkataa mkuu wa chuo hicho wiclief lugoe. Mkuu huyo anadaiwa kuondoa posho za nyumba, umeme na usafiri kwa wafanyakazi wote. Posho hizo zilianza kutolewa tangu mwaka 2003. Taarifa zinadai wafanyakazi walikesha wakisherehekea kutokana na kuondolewa kwa mkuu huyo ambaye amehamishiwa wizara ya viwanda na biashara.
   
 2. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  kweli?
   
 3. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Source: mwananchi tarehe 20/ 03/ 11
   
Loading...