Nguvu ya Umma yamshusha Katibu mkuu wa CCM juukwaani

Jamani mbona hawajamtwanga na mawe! nimechukia style impya ni kuwazomea na kuwapiga mawe ili waelewe kwani wanajidai hawaelewi somo
 
Hii sasa sinema ina maana intelijensia ya chama iko wapi? Maana ni lazima tupime mazingira kabla ya kuongea lolote hata kama unaamini hadhira ni watu wa mrengo wako..... Mukama na nape itumieni unit yenu hii kabla ya kuongea na umma
 
Kama huyo nape kauli anazozitoa ndo kama hizi tunazomwona hapa jf, basi ccm wana kazi kubwa ya kulivua hilo gamba maana bado limewang'ang'ania.
 
Back
Top Bottom