Nguvu ya Sadaka katika kukuletea mafanikio

Nguvu ya Sadaka katika kukuletea mafanikio

Eti mimi kwa kuwaogopa wachungaji wapigaji nikaacha kutoa madhabauni nikaanza kuwapa ombaomba mtaani,nikiamini huwa hawazifikishi kunakotakiwa, kumbe ndio maana sioni changes.
Nitaanza kupeleka madhanauni sasa.
 
Sadaka nomaz....sina hili wala lile nikajisikia kumwaga vipesa vyangu kwa ombaomba pale Benjamin tower....

Asee in return, ni siri yangu na Mungu wangu, kwenye sadaka M/ Mungu hana utani kabisa!
Mungu ana jibu sana kwenye utoaji
 
Sadaka nomaz....sina hili wala lile nikajisikia kumwaga vipesa vyangu kwa ombaomba pale Benjamin tower....

Asee in return, ni siri yangu na Mungu wangu, kwenye sadaka M/ Mungu hana utani kabisa!
Si vyema sana kufanya siri, toa ushuhuda wako ili Jina la Bwana Litukuzwe na pia ili wasio na imani wapate kuamini. Utabarikiwa zaidi!
 
Malaki 3:12

8 Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu.

9 Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote.

10 Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.

11 Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema Bwana wa majeshi.

12 Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema Bwana wa majeshi."
 
Giving By Faith
In Hebrews 11:4 (NIV) we read, "By faith Abel brought God a better offering than Cain did. By faith he was commended as righteous, when God spoke well of his offerings." Abel is not listed in the Hall of Fame because of'what' he gave but because of 'how' he gave it.
God is more concerned about the attitude behind the giving than the amount that's given. If you're not giving in faith, don't give, because your heart's not in it; you don't get any credit for it. The Bible also says, "Without faith it is impossible to please God" (Hebrews 11:6 NIV). God doesn't need your money. What He wants is you.
There are two ways to give: You can give by reason, or you can give by revelation. To give by reason is to figure out reasonably what you think you can give, and that doesn't require any faith at all. Even an atheist can do that.
When you give by revelation, you let God reveal to you what He wants you to give in faith. It means you pray and ask, "God, how much do you want me to trust you for this time?" Then you do whatever He tells you to do.
This is giving by faith, and it helps you grow, mature, and become more like Christ! A child of God shares because God has blessed and given them new life. They've been "born again" and it's just in them to share.
 
Back
Top Bottom