Nguvu ya neno "Hapana"

Nguvu ya neno "Hapana"

Sema HAPANA kwa Uzinzi,HAPANA kwa Ulevi,HAPANA kwa Uongo,Wizi,Rushwa,Usengenyaji,Ufitini,Majungu,Tamaa,Uvivu,Ulaghai,Kiburi,Jeuri,Uzembe,Chuki,Wivu,Dharau,Majivuno,Kebehi sema HAPANA HAPANA HAPANA...
Wengi wameshindwa kusema "HAPANA" kwenye hivyo vitu. Matokeo yake wameingia kwenye matatizo makubwa sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom