Nguvu ya mwanamke

Ilani' ukianza kumruhusu mkeo mara vikoba mara vikundi vya kina mama kitchen party ujue unatengeneza bomu siku moja litakulipukia mwenyewe! Ila naongelea wale wepesi wa kushawishiwa ambao ndio wengi!
Kuna mmoja humu alidai mkewe alitaka kukopa kikoba, akamuuliza kiasi gani, akataja kiasi, then mume akampa kiasi kikubwa zaidi, baada ya muda pesa imeisha na kilichofanyika hakuna, akawa anataka tena kukopa kwenye kikoba ikabidi amuache tu.
 
Pole kwa wafiwa, bidada kakosa mume na maji ya moto. Lakini sisi nasi tukiamua kuwa midomo chuchunge tunakuwa haswa, bila kutambua kuna wanaume weak pia. Huyu bibie bahati nzuri au mbaya alipata mume mpole, inaonekana ali take advantage ya upole wake.
Angekutana na Mkali naona yeye ndie angeumia.
 
Dah yaani siku nikiona mwanamke wangu kaandika haya maneno na akayaishi hakika nitaamini mimi ni Mwanaume niliyebarikiwa kuliko wanaume wote hapa duniani.

Duh kumbe wewe huwa unajitoaga tu ufahamu ila una akili, hekima na busara hivi.
Huyu yuko vizuri mbona mkuu, sema anaamuaga tu kusherehesha jukwaa
 
Angekutana na mura huyu, hii habari ingegeuka.
 
Reactions: kui

Nina muda mrefu natafuta mwanamama mwenye mawazo kama haya
 
Unajiua Ili iweje, hizo pesa atarudisha tu, la sivyo atajuta kwa nini aliolewa na Mkurya, maninaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…