Nguvu ya mende

Nguvu ya mende

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,671
1411285764719.jpg
 
Wame plagiarize staili Yao mana ile staili ya kifo cha mende ni Yao!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mie naogopa panya jamani pamoja na chura yaani siwezi kukaa au kulala nikijua wapo eneo nilipo utanikuta juu ya stuli au kigoda au kochi huku natafuta jinsi ya kumuua au kuomba msaada.
 
Mbona hapo ulipo kama nimeona panya anatembelea
 
Eh! Unaogopa vip panya wakati una pu**y»lol

Pole sana dada!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Waapii hamna yaani labda nisijue ila nikijua yupo sikai hapo natafuta mlango wa kutokea. Kunasiku nilikuwa natembea tukielekea makaburini kuzika kulikuwa na manyunyu na ilikuwa kijijini nusura nivue nguo baada ya chura wa kijani kunirukia vile vidogodogo weeh acha kabisa nilirudia njia ingine.

My pussy eats sosage and its 2 eggs instead of rat!!
Eh! Unaogopa vip panya wakati una pu**y»lol

Pole sana dada!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Waapii hamna yaani labda nisijue ila nikijua yupo sikai hapo natafuta mlango wa kutokea. Kunasiku nilikuwa natembea tukielekea makaburini kuzika kulikuwa na manyunyu na ilikuwa kijijini nusura nivue nguo baada ya chura wa kijani kunirukia vile vidogodogo weeh acha kabisa nilirudia njia ingine.

Hahahha kama nakuona vile...
 
Yaani utafiti ni mchokozi anataka nitoe mbio za bure, amenikumbusha wakati tunasoma primary st. Kayumba wanafunzi wa kiume walikuwa wachokozi wakiona waschana wamekaa wanaongea wanakuja halafu anatustua nyia panya huyo miguuni wee waschana tunatawanyika na sketi zinainuliwa juu basi wavlana wanachekaa na kusemaa tumeona chupi tulikuwa tunachukia ila ndo ivo tunaogopa sana cjui kwa nini.

Hahaahaaaaa utafiti utasababisha Kasinde avunje mguu kama si mkono
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa nimetukana wapii mbona nimetaja vyakula tuu!! Au kuandika kizungu ndo kutukana heheheee ila napenda sana soseji aisee haziishi kwenye friji yangu...

Hahhahaaaaa nilijua tu utabisha Kasinde ila najua pussy wako hali hizo za kwenye friji
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom