Nguvu ya Marekani inatokana na nini?

Nguvu ya Marekani inatokana na nini?

Russian federation
Korean republic Toka 1954
Republic of Iran. Toka 1979
Nyingine ongeza hapo
Ikiwa Sadam aliweza maliza vita na Iran Kwa kusapotiwa na marekani, ni vipi marekani mwenyewe ashindwe?.

Nb:, kuhusu N/K ni inshu ya kimkakati sana, kuivamia N/K kutaleta hatari kubwa kwa Allies wa US katika ule ukanda.

vita ya Us ikianza US ana 99.9 ya kushinda vita mapema tu, tatizo linakuja kwa Allies wa US waliopo jirani na Nk!.
Kim akishambuliwa na marekani nae atahakikisha inabaki vumbi tu kwa washirika wa US.
Pale kuna Japan, S/Korea etc na US kawekeza miradi ya Dollali mingi sana pale, US hawezi thubutu kurisk madolalj yote hayo kwa kwa Kim yupo Twitter anatoa vitisho.

Nb:2 hakuna mmrekani anataka vita kwasasa, vita imewakost sana hadi leo wanalinganishwa ama kubezwa na uchina wakati Miaka 23 uko nyuma ilikuwa ni mbingu na ardhi.

A Salam Alyekum bwasheeeee
 
Rudi kasome vizuri kuhusu Vita ya Iraq vs Iran aliyeomba Poo Nani?
 
Najiuliza ili swali kwanini nchi kama Urusi, China, Uingereza, Germany, France na nchi nyingine nyingi tu ambazo ziko juu kiuchumi zenyewe hazina uwezo wa kuzifungia ama kuziwekea vikwazo nchi nyinginezo ambazo zinatofautiana nazo kimaslahi na vikwazo ivyo vikatekelezwa na dunia nzima kama afanyavyo Marekani

Namaanisha kwanini Marekani yeye anaamka tu asubuhi anasema Tanzania nimekufungia kununua ama kuuza hiki na kile duniani kote baada ya tamko ilo la Marekani nchi zote duniani zinafata ilo agizo na zinalitekeleza vyema sana bila ata kupepesa macho yaani nchi zote duniani zinafata kauli ya Marwkani na Tz akiamua kushusha bei ili auze kiurahis akuna nchi inayokubali kufanya naye biashara

Kwani Marekani yeye ana kitu gani cha ziada ama cha zaidi ya inchi nyingine zote duniani nataka kujua kitu gani ambacho exptional tofauti na nchi nyingine yoyote yeye anacho na sisi wengine ama nchi nyingine hatuna
Kuna nguvu za aina mbili
1. Soft power
2. Hard power

Marekani anazo zote,
Nchi kama Ujerumani, urusi etc wana hard power, uchumi mkubwa, vifaa vya kijeshi etc ila hawana soft power linapokuja suala la Culture, diplomasia, historia etc.

Na pia Marekani hakurupuki kufungia watu akasikilizwa tu, Hio ni Alliance yake na members wanakubaliana, mfano Trump alikuwa na hayo maamuzi ya Kukurupuka, na wengine walikuwa wanampuuza.

Pia si kila Nchi inafungiwa, Ujerumani na Japan mara kibao wa naenda Against na USA na hawaguswi, mfano Iran ana Vikwazo lakini Bado anafanya Biashara na Ujerumani na Japan, Huawei issue Ujerumani alikataa kumpiga ban etc.
 
Rudi kasome vizuri kuhusu Vita ya Iraq vs Iran aliyeomba Poo Nani?
Baada ya Iran kupigwa na mabomu ya sumu na Iraq, Iran hakutaka tena vita..
Ndo ushindi ninaoungelea huo...yote katika najua Iran ndio mshindi lakini mi nazungumzia tukio la mwisho.
 
Back
Top Bottom