Internet ni mfano tuIyo mifumo ni ipi ambayo nchi nyingine haziqezi kuimiliki mkuu
Internet ni mfano tuIyo mifumo ni ipi ambayo nchi nyingine haziqezi kuimiliki mkuu
Money transfer is among severalIyo mifumo ni ipi ambayo nchi nyingine haziqezi kuimiliki mkuu
Upo sahihi 100% dollar ndio world money polite pale unatumiaSio kweli, GBP ina nguvu kuliko USD, Pound ya Uingereza ni stronger than US $ ingawa USD ina mzunguko mkubwa duniani.
SWIFT CODE system.Money transfer is among several
window, google, Bank ya Dunia, WHO, UN, IMF, n.k, n.k.n.kIyo mifumo ni ipi ambayo nchi nyingine haziqezi kuimiliki mkuu
Ongezea nyama mkuu.Wasomi wa zamani toka ugiriki na maeneo mengine ndio walaumiwe au washukuriwe
Wao ndio walikuwa koloni, lakini sio tija mazee, USA is still conguering the WORLDAlafu hata hawajawahi kuwa na koloni enzi hizo
Elimu ilitoka kwa Wagiriki, Elementary Education Baba.Ongezea nyama mkuu.
USSR haijawahi kua super power.Mkuu kimsingi ili uwe superpower lazima uwe vizuri Kiuchumi na Kijeshi,na kikubwa lazima umwangushe aliyekuwa superpower hapo awali-hizo nguvu za kijeshi na kiuchumi ni kama ingredients katika kufanikisha.
Kumbuka kabla USA hajawa superpower alikuwa U.S.S.R.ambayo iliangushwa na USA kwa vita baridi ya kutumia tu Sera za kiuchumi.Ukisoma mgogoro wa kiuchumi aliyoikumba Dunia has a Nchi za kijamaa miaka ya 1970's ni mgogoro wa kutengeza lengo likiwa ni kuiangusha Russia federation na Nchi za kijamaa na hakika ulifanikiwa na ndio ukawa mwisho wa dola LA urusi.
Tukirudi kwenye hoja yako ya msingi,mfumo mkubwa unao ibeba USA ni mfumo wa kifedha yani matumzi ya fedha ya USA-dolla kutumika kama kiungo kikuu cha ubadilishaji fedha kwenye solo LA dunia.Ndio maana Nchi za BRICS zikaja na mpango wa kuwa na Bank ya pamoja na badaye kuwe na Currency ambayo itatumiwa na washirika kuuziana bidhaa na huduma lengo likiwa ni kuondoa mfumo dollar na Ku gain power.
Labda afufuke jeipiiem, manake tulikuwa tunakaribia kuwa super powerSisi tanzania hatuwezi kufanya ivyo
Ndiyo ujue kuwa elimu kubwa na utajiri haviendaniElimu ilitoka kwa Wagiriki, Elementary Education Baba.
Socrate, Plato, Aristotle na wasomi wa mwanzo ulimwenguni wa Maths, Geography, Physics, Primary education,Psychology, Philosophy na kila field ilianzia kwao na kutoa Wasomi wakubwa sana, Wayunani Hawa
Uchumi wa dunia, jeshi na transformation ya Elimu ilishikiliwa na Warumi wakitawala sayari hii nzima kwa nguvu na akili
Great Britain nao walitawala dunia na kusambaza tamaduni yao kwenye kila ardhi ya bara lililopo duniani, sio Asia, North America, South America, Australia mpaka Africa
Sasa ni zamu ya USA kupitia UN, UNESCO,UNICEF, IMF, WB, ISP inayowezesha major browser kuoperate kama Google, Facebook, twitter,Instagram n.k
Kutesa kwa zamu.
Sisi warusi tunawalaumuKwanini walaumiwe kaka emu tupe iyo historia kwanini hawa wasomj walaumiwe walaumiwe kwa lipi
Nchi Tajiri ya kwanza duniani ipo uko uarabuni, sio marekani.Nchi hii ni tajiri saaana,ni donor kantreee-Shujaa
Marekani na Umoja wa ulaya wanafanya biashara na nchi nyingi katika dunia hii.kampuni zao zinafanya biashara sehemu kubwa ya Dunia, tofauti sana na Urusi yeye anafanya sana biashara na nchi za Ulaya na Asia tu.Najiuliza ili swali kwanini nchi kama Urusi, China, Uingereza, Germany, France na nchi nyingine nyingi tu ambazo ziko juu kiuchumi zenyewe hazina uwezo wa kuzifungia ama kuziwekea vikwazo nchi nyinginezo ambazo zinatofautiana nazo kimaslahi na vikwazo ivyo vikatekelezwa na dunia nzima kama afanyavyo Marekani
Namaanisha kwanini marekani yeye anaamka tu asubuhi anasema Tanzania nimekufungia kununua ama kuuza hiki na kile duniani kote baada ya tamko ilo la Marekani nchi zote duniani zinafata ilo agizo na zinalitekeleza vyema sana bila ata kupepesa macho yaani nchi zote duniani zinafata kauli ya Marwkani na Tz akiamua kushusha bei ili auze kiurahis akuna nchi inayokubali kufanya naye biashara
Kwani marekani yeye ana kitu gani cha ziada ama cha zaidi ya inchi nyingine zote duniani nataka kujua kitu gani ambacho exptional tofauti na nchi nyingine yoyote yeye anacho na sisi wengine ama nchi nyingine hatuna
Mkuu hapa wanaongelea nchi sio waanii wabongo movie etc hata useme kuwa wanatengeneza matukio ili watrend.U.S.A nowdays sio superpower tena ni misifa tu ndio inawakuza
U.S.A wanajua kujisifu, wanajua wanaipenda nchi yao, wanajua kujitengenezea matukio.
Mzunguko ndo unaifanya dola iwe juu/iwe na nguvu. Suala siyo thamani bali demandSio kweli, GBP ina nguvu kuliko USD, Pound ya Uingereza ni stronger than US $ ingawa USD ina mzunguko mkubwa duniani.
Kwa kweli ata mimi japo sijui ila hii chai niliikataa aisee ivi kutengeneza matukio kunawezaje kuifanya pesa iwe na demand kubwa sokoniMkuu hapa wanaongelea nchi sio waanii wabongo movie etc hata useme kuwa wanatengeneza matukio ili watrend.
Ikiwa kuwa donor country ni kutengeneza matukio kama hamorapa, mond etc bas tz tungelikuwa tuna ongoza dunia.
Tz ndo inaongoza kwa kutengeneza matukio.. Vichwa vya tren vinaokotwa bandarini.
Spiki ana wabunge wake wa Chama Pinzani etc