Nguvu ya Make ups kwa wanawake

Wekeni picha kweli anaatisha maana krim hapati tena. Weupe wa kununua kumbe rangi yake ilikua kama kwetu
 
 
jamani
Yeye pekee yake wengine hua tunapuyanga bila ht wanja yaani kwanza nikijiremba hua naloose confidence kabisaa may b niwe na mashosti kungine siwezi

Tena na joto la dar
naona wengi wanajipodoa for photoshoot au zile shughuli za usiku, ila mchana na hekaheka za kusaka hela woiii lipstick na wanja zinawakilisha vyema halmashauri ya sura
 
Kweli kabisaa!poda zenyewe za buku jero full kuchuruzika,Mimi pafyumu au spray mmemaliza!!baada ya hapo mwendo wa wanja nikikumbuka nkisahau basi imeisha hyoooo

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…