lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 655
- 1,792
Roman Catholic Church (RC) ni zaidi ya taasisi ya kiroho Kama tunavyoona au kufahamu,ushawishi wake katika nchi yetu ulianza zamani Sana kabla ya Uhuru,kulikua na Parallel state structure,.Walijenga shule nyingi, Hospitals na majengo ya mahakama..Kama umepitia kitabu Cha Sir Andy Chande A knight in Africa (Journey from Bukene) utajifunza kwamba kuna Taasisi za siri zilianza tangu enzi za ukoloni kutawala na kuendesha Serikali kwa mlango wa nyuma,.
Je intelligence yao Ina nguvu kiasi gani??
Tafsiri ya Intelligence organization ni Uwezo wa kutafuta taarifa,kuzipokea,kuzichakata na kuzichambua ili ku improve security measures,faida za kibiashara,kulinda usalama wa nchi au Taasisi , Na sababu yeyote ile itakayofaidisha taasisi..Kuna Organization nyingi za intelijensia Kama Mossad,TISS,CIA,Roman Catholic Wao ya kwao inaitwa OPUS DEI(Work Of God)..
Jinsi wanavyopata Taarifa,.
Kuna nyimbo ya Rap ya BIG Sean ft Kanye west inaitwa Blessings Kuna remarkable line anasema
" I tell the truth Father forgive me these are all my confessions"
Jamaa anaungana kwa padre dhambi zake Zote, Fikiria Tanzania Kuna maelfu ya makanisa ya RC,waumini milion kadhaa,.haijalishi wangapi wanaungama ila kwa wanaoungama na kusema ya rohoni kwa Fadha kanisa linajua kuhusu Ualifu,Dhamira, Mipango,Nia,Mashaka ya watu,.Hata kiongozi mkuu alipoona siku zake zipo mwisho alimuita Askofu amuongoze Sala ya toba na kuungama dhambi zake,je wanayojua na kusikia yanaishia Kanisani??No wanaandika ripoti inatumwa Vatican
Vatican kiongozi mkuu Pope,Vatican inatambulika Kama nchi huru na mataifa 180..
so viongozi wa RC katika nchi yeyote Ni Kama mabalozi wa Vatican...Kuna baadhi ambao Wana mafunzo ya Upelelezi,infiltration,Lugha,Persuasion na diplomasia..
Kanisa la RC lipo katika maeneo ambayo Serikali haijafika,Niliwahi kufika mahala hakuna serikali,no umeme,No maji,hakuna polisi Wala mwenyekiti wa Kijiji Ila Kuna landcruiser na masister wanaenda kila week,hii Ina maana wanakusanya taarifa kuanzia ngazi ya chini kabisa Hadi parokia..
Hii sio nzuri kwa usalama maana serikali ilinyima elimu watu wa chini,MTU ambae Hana elimu anashika dini vizuri Sana na kauli ya Kiongozi wake wa kidini Ni zaidi ya kauli ya mwanasiasa na rahisi kua manipulated,kila jumapili wanajazana Kanisani Kama kanisa Likitoa "waraka wa jumapili" na usomwe kila kanisa Jambo linaweza tokea..
Sababu TISS wameacha jukumu lao la msingi now wamebaki na mambo mawili tu..kupambana na Siasa za upinzani na kulinda Regime,RC Ni chess master, Vijana waliosoma shule zao leo wapo kwenye uongozi, madaktari,walimu,wanajeshi,na wote wametengenezwa kua waaminifu..
Kama Kuna Jambo lolote wanashindania au Wana mgogoro RC na regime,.Pesa zangu na bet kwa RC..Mnakumbuka Poland na Pope John II??
"there is no shortage of intelligence, or "agency"
the real problem is that none of you care about anything."