Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 590
- 706
"Endapo wengi wakijua nguvu ya dola, hata kuitaja kwa utani wangekuwa wanavaa tai kwanza, achilia mbali kuikanyaga miguu!" 😂😂😂— Alloyce, P.R.
Alafu cha ajabu sasa nguvu ya dola haikuwahi kuishinda nguvu ya UMMA ikiamua."Endapo wengi wakijua nguvu ya dola, hata kuitaja kwa utani wangekuwa wanavaa tai kwanza, achilia mbali kuikanyaga miguu!" 😂😂😂— Alloyce, P.R.
Zingatia neno ikiamua, Tz fursa nyingi sana, vijana sio rahisi kuamua maamuzi magumu.Alafu cha ajabu sasa nguvu ya dola haikuwahi kuishinda nguvu ya UMMA ikiamua.
Kuna dola na kuna UMMA!"Endapo wengi wakijua nguvu ya dola, hata kuitaja kwa utani wangekuwa wanavaa tai kwanza, achilia mbali kuikanyaga miguu!" 😂😂😂— Alloyce, P.R.
😄😄 pesa ni shina la mabaya ,kila mtu anaangalia maslahi yake binafsi.Zingatia neno ikiamua, Tz fursa nyingi sana, vijana sio rahisi kuamua maamuzi magumu.
Mvua za kutosha, fresh water bodies, ardhi yenye rutuba, madini, bahari, bandari, masoko, viwanda... ilimradi watu wanapapatua maisha yanaenda sio rahisi kuamua maamuzi magumu.
Baya zaidi viongozi wa maamuzi wengi wao wakifika bei, wananunulika.
Nonsense indeedNonsense
Na dola ikijua nguvu ya umma itaacha ujinga"Endapo wengi wakijua nguvu ya dola, hata kuitaja kwa utani wangekuwa wanavaa tai kwanza, achilia mbali kuikanyaga miguu!" 😂😂😂— Alloyce, P.R.
Sawa bantu lady, nimejiona. Ila sitakujibu unavyotaka kwa kuwa wewe ni lady. Naishia kusema nimejiona nilivyo 😂😂😂Kama kwenye Avatar niwewe. Si kosa lako maana ni bonge moja la mshamba hata mambo yako ni ya kishamba kishamba sana. Halafu jitu zima unajitoa akili lione kwanza.
The Arab Spring proves otherwise."Endapo wengi wakijua nguvu ya dola, hata kuitaja kwa utani wangekuwa wanavaa tai kwanza, achilia mbali kuikanyaga miguu!" 😂😂😂— Alloyce, P.R.
KabsaaZingatia neno ikiamua, Tz fursa nyingi sana, vijana sio rahisi kuamua maamuzi magumu.
Mvua za kutosha, fresh water bodies, ardhi yenye rutuba, madini, bahari, bandari, masoko, viwanda... ilimradi watu wanapapatua maisha yanaenda sio rahisi kuamua maamuzi magumu.
Baya zaidi viongozi wa maamuzi wengi wao wakifika bei, wananunulika.
"Sometimes it can be true, revolutions like the Arab Spring do happen. But my quote isn’t about revolting against power; it’s about respecting the idea of power, even when joking. Arab Spring was a cry of desperation, not a punchline. Before you mock the state for fun, at least understand its gravity, or as I said, wear a tie first before stepping on it, even in jest!" 😄The Arab Spring proves otherwise.
Haisee 😂😂😂 na ukweli wewe unaonekana umechoka. Hadi umeamua kutoa ya moyoni, ila jitahidi sana unapojenga hoja usitangulize hisia.Kuna Dola Ina nguvu ila sio dola hii ya Tanzania, mimi nakwambia yanayofanyika mtakuja kuniambia, kunaliponza jeshi la polisi itatokea siku watu wataacha kupenda kuwa polisi, wakiana kuuliwa mmoja baada ya mwingine hapo ndo watajua dola ina nguvu, si tupo. mnashitaki watu hawajafanya uhaini, siku wakifanya ndo mtajua mana ya uhaini, Kuna kitu kinaitwa Sniper riffler , watu wakichoka wanamtungua yoyote, na tulivyo wazembe. utaona kama kampeni zitaisha mtu hajapigwa sniper riffler