Nguvu ya dhambi katika maisha

Nguvu ya dhambi katika maisha

Unaeleza vizuri lakn kuanzisha vita na shetani huku unategemea back up ya mungu sawa na kuanzisha vita ya mwenyewe kwa mwenyewe back up US. kwann cici tucikae pembeni wanyooshane wao coz ndo wanawezana.
Mungu anakutumia wewe kumnyoosha shetani ,,kwa sababu uwezo wa kumbyoosha amekupa wewe tayari ila unashindwa kwa sababu umekumbatia dhambi, na dhambi baba yake ni shetani so huwezi kumpiga unaemtumikia lazima atakupiga tuu
 
Nimependa hii thread mkuu,

Barikiwa sana mkuu...
 
Asante mtoa mada , kwa vyovyoye vile wewe ni mtu unaejihusisha na mambo ya kiroho..
Ninaomba ushauri kwako kwa kua umegusia swala la dhambi.

Mimi nimeoa mwaka wa pili sasa, kabla ya kuoa kama kijana nilikua na tabia ya kufanya mastablesheni toka enzi za balehe japo mara chache nilikuana zini nawasichana.

Baadae sana nikapata bahati ya kujiunga na kikundi cha kiroho kanisani ambacho kwa miaka kadhaa ilinipelekea kua mbali na dhambi yoyote isipo kua kasoro za kibinadamu.

Na bahati ilio njema ndipo nilipopata mchumba na kufunga ndoa .

Lakini pia nilikua mhudumu kwa huduma ya maombezi na hakika nilipafom kwa kiasi kikubwa kwenye huduma ile..
Nikahama mkoa ki kazi na mke wangu akajifungua kwa opareshen na moja ya shart ni kuto kukutana nae kwa muda wa miezi sita,

Sasa baada ya pilika za uzazi akili ilipotulia ile tabia ya mastablesheni ikanirudia tena kwa sasa ime kua too march maana imanilazimu tena kutizama filamu za ngono, huku nikijia moyo heri kufanya hivi kuliko kutoka nje ya ndoa.

Sasa nilikua niombe maelezo yako kuhusu hali hii yangu je ninaandikiwa dhambi kwa hilo?
Je ninaweza kurejea tena kwenye huduma yangu na Mungu akanitumia tena?
Na kama ni dhambi niungameje nimezini au nimefanyauasheti?

Ninakutakia kila jema.
 
Unaeleza vizuri lakn kuanzisha vita na shetani huku unategemea back up ya mungu sawa na kuanzisha vita ya mwenyewe kwa mwenyewe back up US. kwann cici tucikae pembeni wanyooshane wao coz ndo wanawezana.
Umeanza kusema shetani ana nguvu, na sijakataa hilo. Hapo tofauti yangu na wewe juu ya nguvu za shetani ni kwa nani anazitumia. Shetani hana nguvu ya kupambana na Mungu, alishashindwa tangu zamani, na Biblia husema, anatetemeka mbele za Mungu. Sasa, shetani alipoona kwa Mungu hawezi, akatafuta mnyonge wake ili naye atumie nguvu zake kwake, mnyonge huyo ni BINADAMU. Kwa habari ya kunyoshana kati ya Mungu na shetani, biblia iko wazi kabisa katika kitabu cha ufunuo 12 tunasoma
7 Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake;
8 nao hawakushinda, wala mahali pao hapakuonekana tena mbinguni.
9 Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote;
. Sasa kwa hoja yako, shetani na Mungu wanyoshane vipi wakati tayari walishanyoshana huko mbinguni na mshindi kati yao akapatikana?
 
Asante mtoa mada , kwa vyovyoye vile wewe ni mtu unaejihusisha na mambo ya kiroho..
Ninaomba ushauri kwako kwa kua umegusia swala la dhambi.

Mimi nimeoa mwaka wa pili sasa, kabla ya kuoa kama kijana nilikua na tabia ya kufanya mastablesheni toka enzi za balehe japo mara chache nilikuana zini nawasichana.

Baadae sana nikapata bahati ya kujiunga na kikundi cha kiroho kanisani ambacho kwa miaka kadhaa ilinipelekea kua mbali na dhambi yoyote isipo kua kasoro za kibinadamu.

Na bahati ilio njema ndipo nilipopata mchumba na kufunga ndoa .

Lakini pia nilikua mhudumu kwa huduma ya maombezi na hakika nilipafom kwa kiasi kikubwa kwenye huduma ile..
Nikahama mkoa ki kazi na mke wangu akajifungua kwa opareshen na moja ya shart ni kuto kukutana nae kwa muda wa miezi sita,

Sasa baada ya pilika za uzazi akili ilipotulia ile tabia ya mastablesheni ikanirudia tena kwa sasa ime kua too march maana imanilazimu tena kutizama filamu za ngono, huku nikijia moyo heri kufanya hivi kuliko kutoka nje ya ndoa.

Sasa nilikua niombe maelezo yako kuhusu hali hii yangu je ninaandikiwa dhambi kwa hilo?
Je ninaweza kurejea tena kwenye huduma yangu na Mungu akanitumia tena?
Na kama ni dhambi niungameje nimezini au nimefanyauasheti?

Ninakutakia kila jema.
Pole sana kwa yote lakini dhambi ni dhambi tuu...hiyo nayo ni dhambi.

Sikwambiii hili kana kwamba mm sifanyi dhambi na mimi pia nakosea sonetimes na ndio maana bibilia inasema " tukisema hatuna dhambi twajidanganya wala kweli haipo ndani yetu," 1Petro
Hivyo hiyo ni dhambi inayofaa kutubiwa kwa kudhakiria kuiacha kabisa, na INAWEZEKANA KUIACHA ,kwa sababu hata sisi wengine tulikuwa hivyo zamani na Mungu katubadilisha na Utukufu ni wa Mungu juu mbinguni.

Tubu omba rehema ya Mungu utashinda maana uwezo wa kushinda kauweka ndani mwako tayari.
Amen
 
Unamjua Pastor Chriss?
 
Back
Top Bottom