Nguvu ya Clouds katika Muziki wa TZ

Nguvu ya Clouds katika Muziki wa TZ

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,165
Reaction score
43,854
Hivii kwa nini Msanii akikosana na CLOUDS MEDIA mara nyingii anaishia kupotea kwenye Game ya muziki hata kama akitoa Nyimbo kalii vip hazisikikii kabisaa na hata watuu hawamfatilii sanaa???? Mfano Lady J dee...Ruby nae mpaka kaomba msamaha baada ya kuona mambo magumu... WHY????
 
Nimegundua hata watu wanaogombana na R.Mengi hupotea kwenye ulimwengu wa biashara au siasa.Ngoja nitaje kwa uchache;
Masha,Malima,Muhongo,Manji!
 
Ifike muda wasanii watoke usingizini msanii hutakiwi kuwa mtumwa wa media fulani
 
Back
Top Bottom