Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,286
- 10,831
Bila shaka umeshasikia mtu kaua mtu kwa kuwa anamdai mtu buku au hela chini ya buku. Wengine hata kufikia hatua ya kuua watoto wao kwa makosa yanayohusika na kupoteza kiwango hicho kidogo cha fedha.
Hata hivyo, hii ilitosha kutuambia nguvu ya buku tunayoijua ni tofauti na nguvu ya buku mtaani. Kama wewe unapata 10k kwa siku kwako buku sio sawa na anayepata 3k kwa siku.
Nauli ya mwendokasi inacheza humohumo kwenye buku.
Nawasilisha