Nguvu ya bikra kwa mwanamke

Nguvu ya bikra kwa mwanamke

Kwanza heshima kwenu wakubwa,naomba niende kwenye mada moja kwa moja.

Kule facebook nina group langu lina watu elfu 60 ila wengi ni wanawake na hii ni kutokana na mada ninazoweka mle zinavutiwa sana na wadada kuliko wanaume

Juzi nilipost post inasema "DADA NENO MOJA TU KWA ALIYEKUTOA BIKRA"

wakuu hamuwezi kuamini comments 456 wadada wameandika "NAMPENDA SANA" ukweli nilijikuta roho inaniuma sana kwa sababu nina uhakika wengi mle wana mahusiano na wameolewa na wanaume ambao hawakuwatoa bikra na hapa nimegundua kua kumbe mwanamke ukimuoa hana bikra maana yake umemuoa demu wa mshikaji tu....na upo uwezekano mkubwa wa mwanamke licha ya kua yupo kwenye ndoa akanyanduliwa na bwana wake aliyemtoa bikra wakati wowote ule.. inauma sana aisee,[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]

USHAURI: ndugu zangu tujitahidi sana tuoa wanawake ambao ni bikra maana hata hili kwa wenye imani na Mungu mmoja tulishasisitiziwa sana tu
View attachment 2063779
Utaua watu kwa presha mkuu! Ukweli mtupu, Mungu aepushie mbali...
 
Utaua watu kwa presha mkuu! Ukweli mtupu, Mungu aepushie mbali...
Mimi ninao 7 hadi sasa niliyo wakata utepe...Ila any time nikiamua kuwavutia waya wanakuja kiulaini...kama kumsukuma mlevi vile!
 
Back
Top Bottom