Khee makubwa kwa hiyo wametutoa mwanaume wenzio halafu mnatuambia tunatembeza k.. Haya bwana hongera kupata bikra hata sisi tulianza na moja na sasa ni kumi
Mtoa maada xo kosa lako ni kosa la ulimbukeni waliozoea kuzitoa hizo bikra wapo kimya wametulia limbukeni hana siri sasa fanya research utaona ni wachache mabikra wanaodumu kwenye ndoa kuliko hao unaowata manung'ayembe! pole yako.
Kilichokubadilisha sio huyo mwanamke,ni imani yako juu ya wanawake bikra,ukishaamini jambo ukalijengea mazoea ikishakuwa tabia utakuwa unaishi ndani ya tabia hiyo ambayo wewe sasa ndo imekusukuma ukampenda huyo kwa sababu ulishaamini katika bikra.
Pia zipo bikra za tempo yaani inaungwa na ndimu nyingi na other spices.ila kwa kuwa wewe mgeni katika sekta ya mapenzi huwezi kugundua.chezea watoto wa mjini enhee.