Nguvu ya bikra katika mapenzi

utajuta kuoa bikra ............ bora aliyeshaziona ndefu, fupi, nyembamba, nene akatulia akaamua kuolewa.
utajuta kuoa bikra ............ bora aliyeshaziona ndefu, fupi, nyembamba, nene akatulia akaamua kuolewa.
kama aliweza kujitunza toka primary hadi chuo atashindwaje kujitunza akiwa kwenye ndoa? sidhani kama naweza kuja kujuta. kwanza ni mwanamke ambae anajielewa hapendi kuchezewa.
 
karibu kwenye team bikra mkuu,tupo wachache sana tuliobahatika hakika ni raha sana.
 
mkuu hayo ndo maneno. sa kama nimepata bikira wa kumuweka ndani nihangaike na manungaemba ya nini tena? naoana watu mapovu yanawatokaa. mi nimeeleza hisia zangu haina haja ya kupanic
 
mkuu shukran kwa kuwapa somo nadhani wataelewa kupitia comment yako.
 
raha sana mkuu nashangaa watu wanaponda!!
wanaoponda ujue ni team majanga,hakuna raha kama kumkuta mwanamke bikra mkuu,mambo ya ex wangu sijui kafanya hivi ooooh ex wangu akafanya lile huna,hakuna raha kama kuwa na mama watoto ambaye wewe ndiye umemtoa bikra,hivi mke anavyouma alafu unakuta tayari ana kahistoria huko nyuma kakuwa na hata kalist kafupi ka watu wawili tu inaumaje,team bikra oyeeeeee
 
Jifariji tu hapa mjini wajanja wako wengi tena wanakuzidi mbinu by the we way hongera kwa kuwa uko njiani kutuletea dungaembe
hakuna cha kujifariji, feki inajulikana! kwa vile nimepata mwanamke anaejitambua na mwenye maadili mema sitegemei kuleta nungaembe. naamini katika malezi mema
 
mkuu umekutana na bikra moja umepagawa, ungekuwa kama mimi si ungekufa kabisa, teh!
 
oyeeeee! teh mkuu nadhani mawazo yetu yanafanana. hakuna kitu kilichokuwa kinaniudhi kama upo na mwanamke halafu anaanza kuongelea habari za ex wake. hakuna hayo mambo kwa bikra. yani full kujiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…