Hope mtoa mada alitaka tujue kakutana na inayoitwa bikra,pia natumai mtoa mada mgeni sana kwenye hizo bikra hadi kutangaza kuoa kabisa.Japo kauli ya mwisho,kuita manungaembe wakina dada,haijavutia.Sio kila bikra lazima uitoe wewe,na kama haujapata ya kutoa usiwaite jina baya kama hilo.So wataka wanawake wote ukate utepe(bikra)?