nguvu ya bangi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nguvu ya bangi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mpigilie, Jan 3, 2012.

 1. m

  mpigilie JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuna mzee mmoja alikua anawasumbua sana vijana waliokua wanavuta bangi karibu na nyumba yake na kutishia kuwaitia polisi. Basi wale wavuta bangi wakapanga mikakati ya kumkomoa yule mzee ili asiwasumbue tena.
  Mmoja wao akatoa wazo la kuisukuma nyumba ya yule mzee ili isogee mbali na eneo wanalovutia bangi,wote waliunga mkono lile wazo.
  Basi wote wakavua mashati na kuanza kazi ya kusukuma nyumba ya yule mzee. Wakati wanasukuma akatokea mtoto akayachukua yale mashati ya wavuta bangi na kuyasogeza mbali kidogo bila wavuta bangi kumuona.
  Walipochoka kusukuma nyumba,kuangalia mashati yao wakaona yako mbali na ile nyumba,basi wakaanza kupongezana "LEO TUMEMKOMOA NA KESHO TUTAENDELEA KUISUKUMA MPAKA ITOKE MTAANI KWETU"


  Bangi nibangue...
   
 2. Oman - Muscat.

  Oman - Muscat. Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahaha
  Imekula kwao!
   
 3. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bange ni nomaaa!
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Naskia bangi inaongeza misimamo!
   
 5. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mabhaange bhana! Teh teh teh! Hii kali uspime!
   
 6. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,852
  Likes Received: 1,292
  Trophy Points: 280
  Dah umetisha bro! Iko pouwa sana hiyo.
   
 7. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Bange nibangue nisiendelee kucheka
   
 8. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Mh! Bangi bangeni, km uongo ulizeni, km bangi haram mbuzi angekula majani?
   
 9. J

  Jrafiki Member

  #9
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pia inaongeza rangi mwilini wanaovuta wote midomo yao ina rangi ya kipekee.qwi qwi qwi.
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Bange ni nomaaaaa
   
 11. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  kijiti sio mchezo
   
Loading...