Sana tu mkuu wa choo.
hebu kunywa maziwa lita 5 kama utaweza kuanzisha thread ya hivi, lakini hebu vuta misokoto 2 miwili ya bange unaweza anzisha thread za mtindo huu hata kumi, utajionea hizo pumba zinakuja automatically.
Sana tu mkuu wa choo.
Searching...100%
Loading...0%
Network failed !
Oneni mwingine huyu
foolz.....
... Ukipiga ile kitu stress zinazoletwa na wabishi wa town zinapungua.
...Mtu akikuzingua unamwambia kama huna shs 200 piga mbizi.
... Kama vipi soma hapo chini pia!
what!!! Who is that person!?
Mwanzisha thread inaonyesha wewe ni mvutaji mzuri wa hiyo bangi
Mkuu wa chuo acha hizo mbona thread imetuliahebu kunywa maziwa lita 5 kama utaweza kuanzisha thread ya hivi, lakini hebu vuta misokoto 2 miwili ya bange unaweza anzisha thread za mtindo huu hata kumi, utajionea hizo pumba zinakuja automatically.
Mkuu we ndo unaonekana mvuta bhangi,mtu kaendana na maudhui ya thread sasa sijui unatoa povu za niniHiv unajua waliofaulu wewe? Umebahatisha kithree chako cha mwisho af 8najisifu eti nilifaulu PCB , Ur dad alikuonea huruma ukienda huku utakufa bure nakuishia kudisco, kwanza kijana unaonekana huna self determination coz kama ni hivyo ungesoma EGM au ECA mapema lakin kwavile hujielewi ukajichomeka kwenye fani za watu . Futa ujinga wakko apa usiboe watu bila Dr.ungeishi mpaka leo wewe?