Nguvu isiyoonekana

Nguvu isiyoonekana

Kuna siku nilipita sehemu wamepaki gari za maana, wakati nakaribia nikajisikia vibaya sana (siwezi kuelezea) nikashangaa nawaza nani huyu kanunua gari hii (ilikua mbele yangu) inafanana na jeneza, mimi siwezi kununua gari kama hili linafanana na jeneza, niliwaza mawazo mengi sana, nilivopita pale ushwari ukarudi moyoni ila nikazidi kuwaza lile gari kama jeneza
Hizo huwa ni mali zinazopatikana baada ya kutoa kafara... Hivyo jicho la tatu huona zaidi ya kuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana me naomba unielekeze kwa mganga ambaye atanisaidi kweli kabisaa, kama inawezekana, maana hapa jirani kuna mwenzangu naye ana duka lake, naona ananifanyia vimbwanga kila leo, ndani ya duka nakuta vitu vya ajabu kila siku.

Hamna haja ya kwenda kwa mganga utaishia kutapeliwa mwaga chumvi weka ndimu... Kwisha habari yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mganga-YETO3H.jpg
 
Back
Top Bottom