Nguvu inayotumika kupambana na"Madawa"Itumike kuokoa Tembo na Feru pia

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Ili dhamira ya kupambana na madawa ya kulevyia hususani unga ionekane sio siasa wala kukomoana ebu na hili lifanyike.Kwanza niwakumbushe.Kwenye sakata la unga.Wamekamatwa na kutajwa watumiaji.Je,Waingizaji ni kina nani?
Tuachane na hilo,Tembo nao wanakaribia kupotea nchini.Ebu kwa dhamira ile ile,Intelejensia itusaidie.Kina nani wanauwa tembo wetu?
Kina nani wanunuzi wa meno ya tembo?Na kina nani wasafirishaji wa nyara hizo hapa nchini."Waopeka nje"
Kama kweli la unga lilikuwa na dhamira ya kweli,Na hili tuone dhamira hiyo hiyo.Bila kuogopa umaarufu wa mtu,Chama chake cha siasa.au imani yake.Hata kama ni mchungaji au shekhe akamatwe.Na atajwe haradhani.Na hiyo dhamira ya kweli itaonekana kuanzia hapo.Huwezi kuwajua wauza unga then ukanimbia wauza nyara hizi huwajui.Tutajieni tuwajue.Tembo wetu na faru wanaangamia.
 
Back
Top Bottom