Nguvu Iliyopo ndani ya mtu

usisahau na element manipulation
trained water bender😎
 
Gud

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa hawana nguvu za asili bali ni nguvu za kilozi yaani ni kiini macho ndicho kinafanya kazi - enzi za nyuma walikuwepo jamaa wa mazingaombwe mashuleni siku hizi sijui wamekwenda wapi? walikuwa wanachija mtu, mtu anatembea kwenye waya ama kamba ya kuaninia nguo bila kukatika wala yeye kuanguka, mtu anapika mboga na ugali kwenye kuchwa cha mtu kama jiko, mtu anatengeneza fuko la minoti anazirusha.....kuna jamaa aligeuzwa akawa ngombe......

Wangekuwa wana nguvu halisi na si hizi za kutengeneza basi wameikemea hii Corona itokomee kabisa.....

Point yangu ni kwamba kuna tofauti kubwa kati ya nguvu za kutengeneza na Nguvu ya asili aliyonayo mwanadamu......
 
5. KUPAA HEWANI.

Pamoja na hayo tuliyoaona, pia unapaswa utambue pia unauwezo wa kupaa ila lazima utumie magic. Dynamo pia alifanya hili na akaweza, hata wewe unaweza.
mkuu mi naweza kupaa nikiwa kwenye ndoto tu --- !!
 
Hawa waganga siku hizi wanapiga hela humu [emoji23][emoji23]
Kuna mmoja anapost hizi vitu humu nikamfuata pm akaniomba hela ili anisaidie ninachotaka ndio nikajiongeza kumbe hawa wazee ni sawa na wale wa ile hela itume kwenye namba hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nami nakula chakula bila kunawa. Si kazi rahisi ila mimi tu ndiyo ninaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…