Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,102
- 828,981
Ni usiku mwingine tulivu tunapojiandaa kupumzisha miili yetu....lakini kabla hatujalala vichwa vyetu viko busy kuwaza mengi kupanga na hata kufikiri yasiyowezekana
Kuna siri kubwa kwenye kichwa ....
.Yote tunayoandika humu kiwanda ni kichwa..kichwa ndio kisima cha mema, mabaya na maarifa yote ulimwenguni
.Baraka za mikono ni kichwani
. Kwa baadhi kuseta mapepo na majini ni kichwa
.kupunga roho chafu ni kichwani
.Kichwa huhusika pia kwenye ibada zetu .Ubatizo ni kichwani
.mataji ya kuvaa mwilini ni kichwani
Ni mengi mengi mengi yanayohusishwa na kichwa naamini dada divine....atakuja kuongezea
kichwa ndio mashine ya maisha kichwa ndio ufahamu utokao rohoni, kichwa kikishatenganishwa na mwili uzima hukoma
Ndoto zetu na mambo yote yatuhusuyo katika maisha yetu kichwa cheti ndio kila kitu
Itaendelea.....
.
Inaendelea.....
Kwenye mashine au mtambo huwa kuna sehemu mbili hardware na software, hardware ni kibebeo cha software, na kama kuna kitu sensitive cha kulindwa ni software, kikiharibika hicho mtambo wote unakuwa hauna maana tena
Kichwa kimebeba software ya mwili , signals zote hutoka hapo . Mtu atatambulika kama chizi mpuuzi mwerevu mjinga katili nk nk kutokana na software ya kichwa chake
Ni kichwa hiki ndio hutoa utambulisho kamili wa mtu...maiti iliyokatwa kichwa ngumu mno kuitambua, kwenye vitambulisho vyetu kinachowekwa ni picha ya kichwa na si mguu wala mkono
Kichwa ni alama ya uongozi, baba ni kichwa cha familia, hata tunaposifu au kuponda reference ni kichwa. kwamba eti jamaa ni kichwa kweli, yaani ni mwerevu sana . au pale hakuna kitu pale yaani kichwani ni sifuri. ..!
Namwalika tena dada Divine... bila kumsahau dada Heaven Sent kwa hitimisho, hasa upande wa kiroho