Ee bwana, nimewaona kwenye picha hapo wamenona kweli?Wakuu
Tunauza Nguruwe hai, wenye afya nzuri kabisa na umri wa miezi 8. Ni Nguruwe waliolishwa vizuri kwa ajili ya matumizi ya chakula au ufugaji zaidi.
Kwa mawasiliano na kufika shambani, tafadhali tuma ujumbe PM.
Eneo: Dodoma
Ee bwana, nimewaona kwenye picha hapo wamenona kweli?
Unatangaza nini sasa kama hujui kuweka tangazo
dola ngapi ?!View attachment 3304756
1).Dell latitude 7270
7th gen
-Ram 8GB, ssd 256GB
-DP port, and other ports
-13 inches
-Core i5
-Backlight keyboard
-Slim and portable
$450,000
Nguruwe kwetu haliwi wala hauzwi na hata kuulizia thamani yake haina haja.Wakuu
Tunauza Nguruwe hai, wenye afya nzuri kabisa na umri wa miezi 8. Ni Nguruwe waliolishwa vizuri kwa ajili ya matumizi ya chakula au ufugaji zaidi.
Kwa mawasiliano na kufika shambani, tafadhali tuma ujumbe PM.
Eneo: Dodoma
Sawa nataka wawiwli hela hizo 1,600,0000. Unaizaje bidhaa bila pichaWakuu
Tunauza Nguruwe hai, wenye afya nzuri kabisa na umri wa miezi 8. Ni Nguruwe waliolishwa vizuri kwa ajili ya matumizi ya chakula au ufugaji zaidi.
Kwa mawasiliano na kufika shambani, tafadhali tuma ujumbe PM.
Eneo: Dodoma
Mimi sili na wenzangu nao hawali pia.Hicho ni chakula haramu na najisi(uchafu) hata kumgusa tu haifai.Kaka mnakula mbona 🙄, kwani wewe umeacha kula lini !!!😥
Vipi mpya au refurbished?View attachment 3304756
1).Dell latitude 7270
7th gen
-Ram 8GB, ssd 256GB
-DP port, and other ports
-13 inches
-Core i5
-Backlight keyboard
-Slim and portable
450,000
kwa jinsi ninavyowaona hiyo bei milion 3 kwa nguruwe mmoja? hapana aiseeWakuu