Kwa kuwa huu uzi haupo jukwaa la ufugaji basi hii ni codeUnavyoliweka zizi ndivyo mdudu ucheza!
Nguruwe ni msafi sana isipokuwa mfugaji ndo mjinga, unaweza sema ngoja niachane na nguruwe ni mchafu, kumbe uchafu wa nguruwe uko kwako
Britanicca
Hakika Lissu alikuwa mbele ya muda miaka 8 iliyopita.
View: https://youtu.be/d2MkkklmL80?si=xLTEH05HyrT5C08o
Kumbe kuna buku 7 na hamsemiiiNgoja ninote ID zenye màtusi nifukuzie buku7
🤣🤣Kwa kuwa huu uzi haupo jukwaa la ufugaji basi hii ni code
Asante sana ila wakati mwingine wote wanakuwa wachafu.Unavyoliweka zizi ndivyo mdudu ucheza!
Nguruwe ni msafi sana isipokuwa mfugaji ndo mjinga, unaweza sema ngoja niachane na nguruwe ni mchafu, kumbe uchafu wa nguruwe uko kwako
Britanicca