Exaud Minja
Senior Member
- Mar 13, 2009
- 100
- 13
Jana nilimla mnyama kwa fujo kweli, kilo mbili peke yangu,duh basi miili yetu itakuwa imejaza ARVs kibao!! Sasa kwanini ngoma inapukutisha hivo?
I do no kama Bongo imeshaingia hiyo.
Lakini ze better tings ni serikali kupiga kabisa marufuku utumiaji wa ARVs, maana kwa hali hii sijui Tanzania after 10 years itakuwa where...
EEEH WATU WANA ROHO NGUMU JAMANI ..
HAWAKO SERIOUS NA MAISHA YA WENZAO MABWANA AFYA SIJUI Ma DR wa wanyama wanafanya kazi gani?
I do no kama Bongo imeshaingia hiyo.
Lakini ze better tings ni serikali kupiga kabisa marufuku utumiaji wa ARVs, maana kwa hali hii sijui Tanzania after 10 years itakuwa where...
tena usikute hao ndio waliwaadvice wafugaji wa-misuse ARVs!!!
mama personal interst kwanza mengine baadae if there is time for that thou!!!
wamenikacrisha sana tena sana, ni juzi tu nimekula hii kitu...
Habari nilizosikia juu juu asubuhi ya leo kutoka kwenye vyomo vya habari imegundulika kwamba huko Mbeya wakulima/wafugaji wanawapa Nguruwe na kuku dawa za kuongeza nguvu za wagonjwa wa ukimwi ili wakue haraka.
Madhara yake kwa mlaji ni kifo cha gafla ambacho kinasababishwa na magonjwa ya moyo-Cardiac arrest.
Kwa aliyeipata habari hio naomba uweke hapa kwa ajili ya AFYA za watanzania wote. Kwangu mimi ni habari mbaya na ya kushitusha.
eeeh watu wana roho ngumu jamani ..
Hawako serious na maisha ya wenzao mabwana afya sijui ma dr wa wanyama wanafanya kazi gani?
Any scientific evidence?
mhhh hii kali inamaana dawa hizo hazibadilishwi kwenye mifumo ya chakula ya hao wanyama? zinabakia kama drug residues!! Cardiac arrest caused by a number of reasons hebu tuache kutishiana tukaaacha kula mnyama wa taifa (Nguruwe) na Kuku tukahamia kwenye bata.....
Mkuu Mungu mkubwa boti imefika salama hongera na pole na joto la visiwani, ni kweli Research imefanyika na ma dr. wa kitanzania nitakutafutia nikukutumie. umepata shairi la mzenji?