Waheshimiwa niko maeneo ya Mwenge Petrol Station (PUMA) Imegonga Ngurumo moja mpaka ninavyoandika hapa saa hii bado ubongo haujakaa sawa....Nimezaliwa Dar, Nimekulia Dar, Nafanya kazi Dar sijawahi kusikia ngurumo ya radi kubwa kama hii ya leo
Mkuu mbona ngurumo za kawaida kwa sie tuliotoka mikoa yenye mvua!! sie kwetu radi ikipiga tunaenda nyikani kuokota uyoga.Vipi ushatoka hapo PUMA mana nami npo hapo hapo.
Mkuu mbona ngurumo za kawaida kwa sie tuliotoka mikoa yenye mvua!! sie kwetu radi ikipiga tunaenda nyikani kuokota uyoga.Vipi ushatoka hapo PUMA mana nami npo hapo hapo.