Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
ndiyo maana hata yenyewe imechakachuliwa!Mhhh!! Halafu hii EAC imejaa marais wachakachuzi karibia wote
Mmiliki anayetambulika officially anaitwa Awio Meleu Mrema (ambaye pia ni mmiliki wa Impala Hotel ya Arusha).hiyo Ngurdoto huwa nashindwa kuelewa ni ya nani wengine wanasema ni ya mkwere na wengine wanasema ni ya Sumaye na mkapa so tufanye utafiti.
Kuhusu hao jamaa wanaojiita marais wote walewale tu walokuja na wasokuja ila ukiamua kuchukua lesser evil bora hata huyo nyang'au manake anajitahidi sana kurekebisha kwa kufanya maendeleo kwake hawa wengin bure tu.
Suala la Africa ya Mashariki ni majukwaani zaidi wala si katika utendaji!
Mmiliki anayetambulika officially anaitwa Awio Meleu Mrema (ambaye pia ni mmiliki wa Impala Hotel ya Arusha).
Inawezekana pia kuna watu wengine nyuma ya pazia.....lakini hawatajwi (wako ki-incognito zaidi).
hivi JK anaelewaga kweli mambo yanayoongelewaga kwenye hizi meetings jamani
alikuwa anakohoa. anakunywa glas. anakohoa. anakunywa glas. basi.
hata mimi niliona hiyo klip ITV
acha uwongo wewe glass ina nywewa?
Usikurupuke wewee.
Mwenzio kaandika Glas wewe unajishaua kwa kuandika Glass.
Ungemuuliza hiyo Glas ni nn?
uzushi mtupu!...unajua impalahotels, naura springs hotels?? Basi mmiliki ni mwenye ngurdotohiyo ngurdoto huwa nashindwa kuelewa ni ya nani wengine wanasema ni ya mkwere na wengine wanasema ni ya sumaye na mkapa so tufanye utafiti.
!
Nyerere hakushindwa na East africa pekee bali pia alishindwa kuongoza na kutuletea maendeleo watanzania, Hivi Nyerere aliweza nini ??
Bull, His personality and image seserve him to be a charismatic leader, alijua mengi ambayo watanzania wengeelewa katika miongo miwili ijayo, "If you want to menage you future, you have to manage information, therefore information is power" ni vile tu ni mvivu wa kufikiri otherwise Nyerere ni kila kitu kwa Tanzania. Alikuachia madini ambayo kwa umri wako ungesikia kama historia angalia unavyofanya? Be quite and think again!!!!