Nguo za mitumba

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
32,772
23,163
habari zenu wandugu......

Kwa wenye utaalamu wa biashara ya mitumba nahitaji elimu yenu....wapi nitapata mabalo ya mitumba 1st grade? Ambapo hakuna kupigwa famba? Au jinsi ya kutambua grade nzuri?

Natanguliza shukrani.....
 
Back
Top Bottom