Nguo za mitumba, je wapi bei nzuri kwa jumla- dar ,zbar au kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nguo za mitumba, je wapi bei nzuri kwa jumla- dar ,zbar au kenya

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ANDENDEKISYE C, Sep 17, 2012.

 1. A

  ANDENDEKISYE C Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wadau,
  Kama mjuavyo, hapa ndio nyumbani. kuna mtu ameniomba ushauri wa wapi anaweza kupata mitumba kwa bei ya jumla, amesikia kuwa pengine bei inakuwa nafuu kenya, mara zbar, mara hapa hapa kko dar es salaam. Ameniomba ushaauri. tafadhali wenye uzoefu. yeye yupo dar es salaam. pia kama mnamfahamu mtu anayeuza kwa jumla, naomba mni-PM namba yake. hususani nguo za akina mama/dada
   
Loading...