julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
x alikuwa member ila ana siku hapost ! sipendi tuachane ndio maana nahitaji mawazo!!!!!!!!!nani kati ya X na present ni member wa JF? sasa kuwa makini na huyu asiache nyingine ikakuletea msala kwa mwingine utakayempata baada ya huyu kukuacha usiku wa leo
x alikuwa member ila ana siku hapost ! sipendi tuachane ndio maana nahitaji mawazo!!!!!!!!!
duh...............!kwenye hili sina ushauri aisee, pambana nalo mwenyewe kaka
Jifanye unaumia zaidi yake kama yeye kalala ndani wewe kubali kung'atwa na mbu ukakae nje...halafu kama unaweza tuma message ya machungu kwa mama, dada au kaka ako kwamba unataka kufa kisa umemkosea mchumba wako halafu jifanye umekosea namba itume kwake. ila usisahau kuweka jina la huyo unayemtumia ili akisoma ajue kwamba si yake lakn kuna nduguyo anayestahili kutumiwa, atakuongelesha tu...I ONCE USED AND IT WORKED SO PERFECTLY...kama hujaelewa niambie nikupe mbinu zaidi!
let me try!Jifanye unaumia zaidi yake kama yeye kalala ndani wewe kubali kung'atwa na mbu ukakae nje...halafu kama unaweza tuma message ya machungu kwa mama, dada au kaka ako kwamba unataka kufa kisa umemkosea mchumba wako halafu jifanye umekosea namba itume kwake. ila usisahau kuweka jina la huyo unayemtumia ili akisoma ajue kwamba si yake lakn kuna nduguyo anayestahili kutumiwa, atakuongelesha tu...I ONCE USED AND IT WORKED SO PERFECTLY...kama hujaelewa niambie nikupe mbinu zaidi!
Jifanye unaumia zaidi yake kama yeye kalala ndani wewe kubali kung'atwa na mbu ukakae nje...halafu kama unaweza tuma message ya machungu kwa mama, dada au kaka ako kwamba unataka kufa kisa umemkosea mchumba wako halafu jifanye umekosea namba itume kwake. ila usisahau kuweka jina la huyo unayemtumia ili akisoma ajue kwamba si yake lakn kuna nduguyo anayestahili kutumiwa, atakuongelesha tu...I ONCE USED AND IT WORKED SO PERFECTLY...kama hujaelewa niambie nikupe mbinu zaidi!
let me try!
Kuna binti niliwahi kuwa naye sasa kumbe aliacha kipichu chake chini ya godoro la kitanda changu, leo nilitoka nimerudi mchumba kanuna mpaka basi, nauliza tatizo nini? naonyeshwa pichu ya e-x, mchumba kalia mpaka basi haelewi hili wala lile mbaya zaidi sikuwahi mwambia nilikuwa na mtu kabla yake!
Mpaka naandika ujumbe huu kalala kwenye kochi chumbani jamani nifanyeje? na nyinyi bi-dada zetu unaachaje nguo tena ya ndani kwa mvulana wako bila taarifa? kichwa kinauma nahisi kupoteza mtu nilie msotea miaka mingi jamani duh!!!!!!!
ushauri wako jamani mtoto ana hasira hata sielewi nafanyaje ananiona si mwaminifu kabisa!
Hongera ulimpata mwelewa,ingekua mimi ningekujibu"kufa upunguze idadi ya malaya na maambukizi ya STD's".
Alikua anajua thaman yangu, she also had something to lose as well, that's why she had to reconsider her reaction...
Hongera,ila mie mwanaume asiejiheshimu heshima yangu ataisikilizia bunge la katiba...nampa zake za uso akitaka kujirekebisha poa asipotaka abebwe na mawimbi apotee...