niliropoka tu, sina sababu yoyote ya kusema hivo
Mzima lakini, naona umechange avatar... yummyyyy
I really like Common...Nimeamua kutoka kivingine kidogo, yummy? lol
I really like Common...
oh yeah? :eyebrows:If you like common then we have many things in COMMON! :nod:
oh yeah? :eyebrows:
twenzetu PMI guess so, not sure
Hakika hijabu yako ya kijani ni kiboko mashaallah nisi kuhusudu !!Hili swali linanikumbusha quiz fulani nilipewa na rafiki yangu:
suppose umeenda desert beach kuogelea na ukaamua kuogelea completely naked
Then ghafla panakuja a very large number of people (very unusual on a desert beach)
mmoja anachukua nguo zako zote na anakimbia nazo.
then wanapiga kengele kuomba watu wote watoke ndani ya maji
As you run, what would you cover? Kifua? mbele? nyuma? #Dilema
CC: Kongosho
Answer:
ıuɐu ɐʎʌ ıu ɐɐɟıʌ ınɾısɐʍ 'ɐɹns ɐɥɔıɟıʞn ɐıqɯıʞ
huu sasa ni uchochezi!
Hili swali linanikumbusha quiz fulani nilipewa na rafiki yangu:
suppose umeenda desert beach kuogelea na ukaamua kuogelea completely naked
Then ghafla panakuja a very large number of people (very unusual on a desert beach)
mmoja anachukua nguo zako zote na anakimbia nazo.
then wanapiga kengele kuomba watu wote watoke ndani ya maji
As you run, what would you cover? Kifua? mbele? nyuma? #Dilema
CC: Kongosho
Answer:
ıuɐu ɐʎʌ ıu ɐɐɟıʌ ınɾısɐʍ 'ɐɹns ɐɥɔıɟıʞn ɐıqɯıʞ
hahahahaha, naona shule yenu mlikua watundu!My friends used to that in high school
Tukishikwa na walimu tumetoroka, wanakimbia huku wamenyanyua sketi kufunika nyuso zao
hahahahaha, naona shule yenu mlikua watundu!