nguo ya ndani

kubwalamaadui

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
328
Reaction score
51
wana jamvi!hivi kati ya ke na me yupi nimuhimu sana kuvaa pichu.
mf. kama ipo moja tu ni nani ni muhimu kuvaa
 
Mkuu kweli kweli hiki ndicho ulichoamua kutuletea hapa kwenye jukwaa letu lenye heshima namna hii duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!!!! binadamu tunatofautiana sana.
 
Kwa hiyo ikiwepo moja kama hii, utavaa kwa kuwa ipo moja tu?? Kuna vitu vingine sijui wanaume wenzangu huwa mnaazima wapi ubongo ili kuweza kuvifikiria

Mkuu kweli kweli hiki ndicho ulichoamua kutuletea hapa kwenye jukwaa letu lenye heshima namna hii duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!!!! binadamu tunatofautiana sana.

Huyu kawaza badala ya kufikiria...ni kama mtu aliyekurupushwa usingizini
 
Mkuu kweli kweli hiki ndicho ulichoamua kutuletea hapa kwenye jukwaa letu lenye heshima namna hii duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!!!! binadamu tunatofautiana sana.

naomba usiniharibie siku,nimetukana nini!nimemvunjia nani heshima!report kwa mode
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…