Nguo fupi zitawaletea matatizo

Nguo fupi zitawaletea matatizo

kama kuna wazalilishaji wakubwa wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe! kama kungekuwa na kuzaliwa tena na kuchagua jinsia basi dunian wanaume tungekuwa wengi.
 
Mmh sijaona tatizo la hicho ki mini skirt, kweli tuna safari ndefu ya kuendelea. Je hayo majibaba yangedondoshwa brazil sipati picha!

Kumbe kuvaa vimini ndiyo kuendelea!!! mmh kweli wewe great thinker!
 
Aisee, Iringa imekua kiasi hiki? Naona vikwangua anga huko kwenye background. Nilikuwepo huko miaka mitano iliyopita, palikuwa pa kawaida sana. Hii ni mitaa gani kaka?

Kweli hujatia tim kitambo.... Ngoja ni-share na wewe some of the fotoz labda utakumbuka baadhi ya mitaa ya Iringa, hizi chache ninzo kwenye simu

attachment.php


attachment.php


attachment.php

attachment.php


attachment.php


Iringa-20130630-00505.jpgIMG-20140214-00755.jpgIMG-20140214-00758.jpgIringa-20130630-00500.jpgIMG-20140214-00753.jpg
 
Kuna nguo fupi hyo haiingii hata top 10.

Kuna mdada nilimuona pale mcity na nguo fupi akikaa inafika kiunoni.

Kila mtu alimshangaa sana
 
Hii ni fashen siku hizi. Wadada wanakwenda na wakati.


Chupi 02.jpg

Chupi 01.jpg

Kama hoja ni kuonyesha maungo ya mwili, je na wale wanaume wanaovaa singlend na kutembea mitani, vifua vimejaa nywele kama simba; mbona hatuwazomei???

Je na wale wanaume wanaovaa mlegezo chupi nje!!!!!.........


Tukosoe tabia mbaya kwa wote siyo wanawake peke yao


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Iringa Nako Baridi Imezidi Sana
Ndio Maana Vijana Wanatumia Fursa
 
Mmh sijaona tatizo la hicho ki mini skirt, kweli tuna safari ndefu ya kuendelea. Je hayo majibaba yangedondoshwa brazil sipati picha!
very true, hiyo nguo sio fupi kiasi cha kufuatwa..kuna miji kama BangKok utakimbiaa, afu wao kawaida tu wala hawageuki kutazama.
 
very true, hiyo nguo sio fupi kiasi cha kufuatwa..kuna miji kama BangKok utakimbiaa, afu wao kawaida tu wala hawageuki kutazama.

Hata jamaica kuna paradise island ambapo unatembea uchi lakini ndio tuige utamaduni wa watu wengine
 
hili tukio lilitokea iringa mitaa ya stendi kuu ya mabasi,miaka kama 2 iliyopita na walitoa magazet udaku
 
Back
Top Bottom