Ngumi zaendelea kurindiama manispaa ya singida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngumi zaendelea kurindiama manispaa ya singida

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Isango, Nov 11, 2011.

 1. I

  Isango R I P

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 295
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ofisi ya mkurugenzi wa manispaa ya singida imegeuka kuwa uwanja wa ngumi tangu jana, baada ya leo asubuhi kuanza tena ngumi.

  Jana ilikuwa diwani wa kata ya unyambwa mh. Shaaban satu dhidi ya mfanyakazi wa ofisi ya mkurugenzi kitengo cha ardhi bw. Ramadhani sumwa.

  Leo imekuwa ni baina ya kaimu mkurugenzi mzee simon hoja na diwani wa kata ya unyamikumbi mh. Ikaku, suala la msingi ni mambo ya ufisadi wa ardhi katika manispaa unaofanywa na kikundi kidogo kisichotaka kuhojiwa.

  Wanalinda heshima ya chama, wapo sasa ofisini wamejifungia kulinda heshima ya chama hawapelekani polisi......

  Kikao kinaongozwa na meya salumu mohamed mahami.
   
 2. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahaaa haaaaa namkumbuka Kilaza Lusinde pale Dodoma Bungeni
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Ukiona hivyo ujue watu wamechoka na hawawezi tena kuendelea kusubiri ndo maana wameamua kukubali kuwa "dawa ya mwizi ni kumuua"
   
 4. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  hahahahaha... atakaye shinda nitampromoti akazichape na Francis Cheka
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mi nataka zitokee ngumi bungeni nione mizee ya ccm inavotolewa mchuzi
   
 6. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,446
  Likes Received: 7,185
  Trophy Points: 280
  He he he.mkwebhaaaaa
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hadi raha kila kona burudani bado gogoni pale
   
 8. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Is it coincidence.....11.11.11,...everywhere is war,.....ndio maana hawa ndugu zetu(kama wapo anyway)_wajenzi huru wanaamini sana namba...ntalifanyia kazi hili,..maake mara mby,babat,arusha,singida,dar etc...kwa nini yote leo
   
 9. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hii inapendeza kwa kweli. Ukiona watu wamefikia huku ndio mwanzo mzuri wa uwajibikaji. Kama fulani anaringia ulinzi wa sheria, unatunga ya kwako fasta mnamalizana
   
Loading...