Ngumi za wanawake ni kichekesho

Jiepushe kupiga mwanamke mkuu, anapokwambia nipige uone haimaanishi mpigane, anamaanisha nipige nikakukaangie limbwata, aisee utakuwa zezeta maisha yako yote, wewe utakua ni mtu wa sawa babe, sawa wife, ung'ombe ung'ombe hadi siku unajifia.
 
Mara kwanza napigana na mke wangu hadi nilishangaa yaan mwepesi sana lakin alivyokuwa anaongea unaweza ogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…