Ngumi za Karne

Ngumi za Karne

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
OMMY34.PNG
 
Teh, nani anaeamua hapo sasa au ni piga nikupige? Maana naona kuna mpare anachungulia kwa mbali!
 
unaweza kukuta hapo tatizo ni sh 50 tu
 
Hapo hakuna cha deni wala siasa hapo ni washashiba dona na kipande cha nguru sasa ndo wanapimana ubavu ambao usiyokuwa na teja hapo
 
Hapo hakuna cha deni wala siasa hapo ni washashiba dona na kipande cha nguru sasa ndo wanapimana ubavu ambao usiyokuwa na teja hapo
sana sana mboga yetu ile
 
Hapo kabla ya uchaguzi sasa baada ya magoli ya mikono itakuwaje.
 
Fulana rangi ya machungwa ameingilia kati kuwagombelezea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom