Mwenyekiti wa CUF-Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim Lipumba leo Jumanne 14/04/2020 saa 02:30 usiku atakuwepo hewani Mubashara kwenye Kipindi Cha Clouds 360 Clouds Tv Kuzungumzia COVID-19 na Madhara yake Kiuchumi.
Usikose kumsikiliza Profesa Nguli wa Uchumi duniani.
IMETOLEWA NA KURUGENZI YA HABARI
CUF- CHAMA CHA WANANCHI
14/04/2020
Imewahi kunenwa kuskiliza pumba za vigeugeu wasaliti wenye bei ni ujinga mkubwa!! hiyo saa mbili kama MTU kachoka kufuatilia habari namshauri acheki ata katuni Kule star kids unaweza enjoy na kujifunza ubunifu zaidi