Mtaalam wa uchumi duniani Prof. Ibrahim Lipumba kuunguruma Jumatatu kipindi cha Konani, ITV

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
Jumatatu Tarehe 9/03/2020 Kuanzia saa tano Asubuhi Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba atafanya mazungumzo ya ANA KWA ANA kupitia kipindi cha KONANI.

Mwenyekiti wa Chama CUF Mtaalam wa Maswala ya Uchumi Duniani.

Konani Mubashara kupitia Mitandao ya kijamii ya ITV Facebook ITV TANZANIA na YouTube ITV TANZANIA.

USIKOSE...
 
ProF ambaye hajui kama uchumi imara unatokana na siasa safi, uwazi, haki, uhuru wa kujieleza na wa kukusanyika, kutoa maoni siyo tu yanayowapendeza viongozi bali na ya kukosoa ni Prof wa aina gani, Ngoja nitafute kidogo kama uprof una expiry date inawezekana umesha-expire.
 
Ahsante mno kwa taarifa, please pamoja na mengine ajibie maswali yangu machache;je yeye ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi?je alipokuwa mshauri wa kiuchumi wa Rais Museveni nini hasa alimshauri huyu Rais na je ushauri wake ulisikilizwa?,je yeye ni sellout katika siasa za kivyama hapa Tanzania ? je ana maoni gani kuhusiana na kukua kwa uchumi wa nchi na kauli za sitting president kuhusu tuzidi kuzaliana?(tunaongezeka kwa more than 3.3%,wakati uchumi upo chini ya 5%).
 
Ukiwa na wazee kama hawa 20, wanaweza kula dili hata kuuliza taifa.

Aliyoyafanya CUF Mungu anamuona. Chama kakikata miguu na mikono afu yeye anatembea kifua mbele kwenye mialiko huku CUF inachechemea!!
 
Hii inanikumbusha kuwa mtaalamu wa uchumi ni maskini wa kutupa, na hawajiwezi hata kufanya yale wanayojua kuondoa umaskini. Kati ya vitu sitamshauri mtu kusoma ni uchumi wa kitabu. Darasa la saba wakiingia katika fursa ni wachumi wazuri kuliko hawa maprofesa wa uchumi. Elimu hii imedukuliwa kutupumbaza waafrika. Wafrika tuliosoma ni wajinga kuliko wasiosoma na sijajua kwa nini.

Msukuma anaweza kuwa mchumi mzuri kuliko huyu jamaa. Believe me. Wape mitaji inayofanana kisha wape mazingira yanayofanana ya bisha uone nani atalaza fedha nyingi na kukua kibiashara. Pengine ndiyo hiyo mganga hajigangi lakini hizi semi pia za wasiosoma. Sijui sana ila uki-sum up ni kweli
 
Jumatatu Tarehe 9/03/2020 Kuanzia saa tano Asubuhi Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba atafanya mazungumzo ya ANA KWA ANA kupitia kipindi cha KONANI.

Mwenyekiti wa Chama CUF Mtaalam wa Maswala ya Uchumi Duniani.

Konani Mubashara kupitia Mitandao ya kijamii ya ITV Facebook ITV TANZANIA na YouTube ITV TANZANIA.

USIKOSE...
Hivi Lipumba ana familia jamani ? (yaani mke na watoto) maana binafsi sijawahi kusikia habari zake.
 
Ni mwanasiasa na professa anayestahili tuzo Guinness World Record, ya kudharaulika kuliko hata Mkiti wangu wa serikali ya mtaa aliyepita bila kupingwa katika uchafuzi huru na wa haki.

Everyday is Saturday....................... :cool:
 
Jumatatu Tarehe 9/03/2020 Kuanzia saa tano Asubuhi Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba atafanya mazungumzo ya ANA KWA ANA kupitia kipindi cha KONANI.

Mwenyekiti wa Chama CUF Mtaalam wa Maswala ya Uchumi Duniani.

Konani Mubashara kupitia Mitandao ya kijamii ya ITV Facebook ITV TANZANIA na YouTube ITV TANZANIA.

USIKOSE...
Uchumi duniani Aaache kudanganya mateja wa buguruni na changudoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jumatatu Tarehe 9/03/2020 Kuanzia saa tano Asubuhi Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba atafanya mazungumzo ya ANA KWA ANA kupitia kipindi cha KONANI.

Mwenyekiti wa Chama CUF Mtaalam wa Maswala ya Uchumi Duniani.

Konani Mubashara kupitia Mitandao ya kijamii ya ITV Facebook ITV TANZANIA na YouTube ITV TANZANIA.

USIKOSE...

Fvck U!
 
Ninachoshangaa ! Mtaalamu wa uchumi duniani anajiunga na siasa . (do you know that politics is a dirty game?) Katiba yetu inasema ukijua tu kusoma na kuandika unakuwa mbunge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dokta Bashiru Maprofessa Lipumba Palamagamba na yule Mwanamama wa wazara ya Elimu asiyejua English na Mfoji vyeti wa Mkoa wa Dar na wengineo wengi.

Kwa listi hiyo ya Vihio si ajabu hata Corona inaliogopa taifa hehehe
 
Back
Top Bottom