Nguli wa Uchumi Prof. Lipumba atakuwa live leo Clouds 360 kupitia Clouds TV saa 2:00 USIKU. Usikose kumtazma na kumsikiliza

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
TAARIFA MUHIMU:

Screenshot_20200414-183013.png

Mwenyekiti wa CUF-Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim Lipumba leo Jumanne 14/04/2020 saa 02:30 usiku atakuwepo hewani Mubashara kwenye Kipindi Cha Clouds 360 Clouds Tv Kuzungumzia COVID-19 na Madhara yake Kiuchumi.
Usikose kumsikiliza Profesa Nguli wa Uchumi duniani.

IMETOLEWA NA KURUGENZI YA HABARI
CUF- CHAMA CHA WANANCHI
14/04/2020
 
Nadhani anataka kuweka rekodi sawa ,kuwa CUF sio ukawa na itaungana na ccm kwny uchaguzi ujao kama wenzao TLP na NCCR
 
Imewahi kunenwa kuskiliza pumba za vigeugeu wasaliti wenye bei ni ujinga mkubwa!! hiyo saa mbili kama MTU kachoka kufuatilia habari namshauri acheki ata katuni Kule star kids unaweza enjoy na kujifunza ubunifu zaidi
 
Huyu hana faida.

Anaenda kuongelea uchumi au zile pesa za CUF zilizoibiwa/ alizopiga yeye na tume ya uchaguzi
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom