Nguli wa mpira wa miguu wa dunia "Pele" ana hali mbaya kutokana na msongo wa mawazo

Pele anasumbuliwa na nyonga kiasi inampelekea kushindwa kutembea

Kutokana na kushindwa kutembea ndipo amepata msongo Wa mawazo

Kwa sasa Pele anatembea kwa wheelchair
 
Back
Top Bottom