• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Nguli wa mpira wa miguu wa dunia "Pele" ana hali mbaya kutokana na msongo wa mawazo

  • Thread starter Alexander The Great
  • Start date
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2018
Messages
2,926
Points
2,000
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2018
2,926 2,000
Edson Arantes Nascimento "Pele" ambae ni "TUNU" kwa taifa la brazil na mchezaji pekee alieshinda "WORLD CUP" kwa mara tatu (1958, 1962, 1970) anatambulika kwa wengi kama ndio mchezaji bora ambae hajawahi kutokea katika historia ya mpira wa miguu.

Anapitia wakati mgumu kutokana na "MSONGO WA MAWAZO (DEPRESSION)", kufikia hatua hawezi "KUTEMBEA WALA KUTOKA NJE YA NYUMBA YAKE". Mwanae wa kiume Edinho amesema katika mahojiano na vyombo vya habari kua Baba yake mwenye umri wa miaka 79 "Amedhoofika sana, kupelekea mawazo yanamfanya ashindwe hata kutembea kawaida, hasa akiwaza (Pele) kuwa yeye ni mfalme wa mpira wa miguu na mfano wa kuigwa, hilo jambo linamfanya kuwa na aibu kuonekana mbele ya hadhara".

Mwezi April mwaka jana Pele alilazwa muda mfupi baada ya kuonekana nchini ufaransa (Paris) na mchezaji chipukizi Kylian Mbappe.

Ikumbukwe Pele ni miongoni mwa wanaadamu wanaoishi na Figo (Kidney) moja tu, baada ya kupoteza figo moja wakati akicheza mpira na kuvunjika mbavu ilioharibu figo yake moja.

2303612_pele01-703x422.jpeg
2303613_pele2-680x453.jpeg


-Binaadamu hatujafa, hatujaumbika. Licha ya vyeo na pesa mwanadamu anazokua nazo, pindi muda ukifika hazitamsaidia.
 
AsajizzleDaGreat

AsajizzleDaGreat

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2018
Messages
2,311
Points
2,000
AsajizzleDaGreat

AsajizzleDaGreat

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2018
2,311 2,000
Edson Arantes Nascimento "Pele".

-Binaadamu hatujafa, hatujaumbika. Licha ya vyeo na pesa mwanadamu anazokua nazo, pindi muda ukifika hazitamsaidia.
Ni kwel mkuu pesa siokila kitu LAKINI BORA KUWA NAZO hata jama hazitakusaidia KULIKO KUTOKUA NAZO maana utapata tabu sana.

Hebu imagine na depr4ssion hizo HALIFU ANGEKUA HANA PESA ??? Si tungekua tushamzika??
 
Nyaka-One

Nyaka-One

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Messages
3,297
Points
2,000
Nyaka-One

Nyaka-One

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2013
3,297 2,000
Yaani anaona aibu kuugua kwa vile yeye ni mfalme wa mpira wa miguu na mfano wa kuigwa? Kwani kuugua ni kwa wale watu wasio maarufu ambao ndiyo wenye ujasiri wa kuonekana kwa watu? Sijaelewa.
 
Smart Guy

Smart Guy

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2016
Messages
3,101
Points
2,000
Smart Guy

Smart Guy

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2016
3,101 2,000
Ni kwel mkuu pesa siokila kitu LAKINI BORA KUWA NAZO hata jama hazitakusaidia KULIKO KUTOKUA NAZO maana utapata tabu sana.

Hebu imagine na depr4ssion hizo HALIFU ANGEKUA HANA PESA ??? Si tungekua tushamzika??
Fact
 
N

nyumbamungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2017
Messages
554
Points
500
N

nyumbamungu

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2017
554 500
Mbona Amka na BBC, asubuhi walitangaza ni Abed Pele, kumbe ni Pele wa Brazili.
 
myoyambendi

myoyambendi

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Messages
88,518
Points
2,000
myoyambendi

myoyambendi

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2013
88,518 2,000
Huyo jamaa anaumwa na umri pia umeenda...anaelekea 80 sasa. Hana shida ya kipato ni ugonjwa tu.

Legendary Brazil forward Pele is reluctant to leave his house because he cannot walk unaided, his son has said.
The three-time World Cup winner, widely regarded as the greatest player of all time, was taken to hospital with a urinary infection last year.

Pele, 79, has had problems with his hip for some time and now needs a frame to walk, with many of his recent public appearances in a wheelchair.
 
myoyambendi

myoyambendi

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Messages
88,518
Points
2,000
myoyambendi

myoyambendi

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2013
88,518 2,000
Mbona sijaelewa hasa sababu ya kuwa na msongo wa mawazo?maana kinachomfanya ashindwe kutembea au kutoka nje ni huo msongo wa mawazo.

Sababu hasa ya kuwa na msongo wa mawazo ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mgonjwa:
Legendary Brazil forward Pele is reluctant to leave his house because he cannot walk unaided, his son has said.......
His health has been a concern in recent years and he had prostate surgery in 2015 after he was admitted to hospital for the second time in six months.
 
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2018
Messages
2,926
Points
2,000
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2018
2,926 2,000
Mbona sijaelewa hasa sababu ya kuwa na msongo wa mawazo?maana kinachomfanya ashindwe kutembea au kutoka nje ni huo msongo wa mawazo.

Sababu hasa ya kuwa na msongo wa mawazo ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzeee mkuu, umri ukienda lazima mawazo yajae kichwani, hasa ukitafakari wale watu uliokua nao wakati wa ujana ndio wameshatangulia mbele ya haki.
 
Tuna

Tuna

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Messages
400
Points
500
Tuna

Tuna

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2019
400 500
Hana Imani huyo,.Akiwaza Mpunga aliokuwa nao na Umaarufu wote lakini ikifika siku anaondoka bila huruma wala Umaarufu.
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
45,223
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
45,223 2,000
weka sourse ya habari yako tusome wenyewe huo msongo wa mawazo unatokana na nini.
 
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
8,525
Points
2,000
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
8,525 2,000
Mbona Amka na BBC, asubuhi walitangaza ni Abed Pele, kumbe ni Pele wa Brazili.
Kama kweli walisema ni Abeid Pele basi hiyo itakua ni BBC Mwendokasi ya kina Regina
 
BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
8,872
Points
2,000
BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
8,872 2,000
Mbona sijaelewa hasa sababu ya kuwa na msongo wa mawazo?maana kinachomfanya ashindwe kutembea au kutoka nje ni huo msongo wa mawazo.

Sababu hasa ya kuwa na msongo wa mawazo ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
mwanaume.unapofikia 70 HUWA BAADHI yah viungo hupoteza.MWELEKEO WA KUFANYA kazi sawasawa

na udhaifu ule huleta magonjwaa mbalimbali na hapo NDIPO kad iza BIMA zinapofanya kazi ama.ulichojiwekea akiba


ingawa pamoja na akiba hioo UNAWEZA ishia kumaliza akiba YOTE na bado ukaelekea pale kinondon makaburini kama ayajajaa
 

Forum statistics

Threads 1,405,818
Members 532,110
Posts 34,496,184
Top