Ngorongoro heroes v Nigeria U20 - Afcon U20 Qualifier

Ngorongoro heroes v Nigeria U20 - Afcon U20 Qualifier

ndetichia

Platinum Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
27,769
Reaction score
6,589
Vijana wa Stewart Hall leo wapo kibaruani.. Je watapita au ndo zile zile zetu kushiriki..

Updates
***************
tanzania 0 - 2 nigeria
 
wanacheza uwanja gani ? ndetichia kila la heri Ngoro ngoro heroes.
 
Last edited by a moderator:
Wapo nusu ya pili,hakuna magoli.
Tutavuka kweli?
 
nigeria 1, ngorongoro heros 0, dakika ya 4 kipindi cha 2
 
ngorongoro heros wanakosa goli la wazi kabisa, saadi kipanga
 
kelvin friday anakosa goli hapa, dk 23 kipind cha pili
 
nigeria wanashambuliwa kweli kweli sasa
 
saiid kipanga anakosa goli la wazi kabisa,
 
nigeria wanapata faulo,
minachoo, imekuwa kona
 
nigeria-nwakari chidebele anapiga konaa, wanakosa
 
dakika 32, nigeria 1, tz-0 kipindi cha pili
 
dakika 36,gooooooooooo, promise,;nigeria 2, tz-0, kweli watz kichwa cha mwendawazimu
 
Back
Top Bottom