Nasikia ndo sababu ya kuamishia ikulu Dodoma, ngoromiko alimlaza nje mwendazake.Nasikia pale ikulu magogoni kwenye mitimiti nasikia wako wengi tu
Hahaaa... hapo sasa! Huyo atakua jini wa kwenye bongo muvi ππ Jini bila tochi hatoki usiku ππJini akahitaji taa[emoji23]
Mkuu lugha gani hii?ina sound kibantu kwa maana ya shetani bila shaka[emoji23][emoji23]Isyetano.
Kwa hiyo ni kweli wachawi wa kwenye bongo movie huwa wanatembeaga na mishumaa usiku ili iwamulikie gizani.Hahaaa... hapo sasa! Huyo atakua jini wa kwenye bongo muvi ππ Jini bila tochi hatoki usiku ππ
Kinyakyusa [emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu lugha gani hii?ina sound kibantu kwa maana ya shetani bila shaka[emoji23][emoji23]
Ha ha ha!Jini akahitaji taa[emoji23]
Wakati nakua huko nyumbani (arusha) nilikuwa nasikia story za kutisha kuhusu kiumbe kiitwacho ngoromiko
Wasifu wa ngoromiko
Mrefu sana
Huonekana mara nyingi usiku tuu
Huwasha taa mara Moja na kuzima taa hiyo inasemekana ipo kwenye paji lake la uso.
Mwili wake umegawanyika mara mbili upande ngumu kama chuma na nusu ni kama binadamu
Je umewahi kusikia kitu kuhusu kiumbe hiki tuambie
Pengine kuna mengine alitendewa zaidi ya kulazwa nje ila sema ndio hivyo zinabaki kuwa siri za njeNasikia ndo sababu ya kuamishia ikulu Dodoma, ngoromiko alimlaza nje mwendazake.