Habari zenu wa Kina Kaka na Kina Dada Wakubwa na Wadogo Mie naomba kukaribia Jamvini japo niliingia kwa kupita Dirisha la Nyuma kama Bus la Mbagala nikaja kuona kuna sehemu ya kujitambulisha Naombeni Kijana Mwenzenu mnipokee nisije kupotea humu bure ndio nashangaa shangaa kituoni hapa mpaka shingo inauma... Kijana mwenzenu Pazi.
Nawashukuru wote jamani kwa ukarimu wenu wa kunikaribisha mwenyezimungu azidi kuwapa mazuri na moyo huo huo mzuri na awaepushe kwenye mabaya na mujiepushe kwenye mabaya.