Ngono ya wizi inanoga kuliko tendo la ndoa katika Ndoa halali.

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Kwa nyakati za sasa uzinifu si kitu cha ajabu tena.

Wahusika wanadai kufaidi uasherati kuliko tendo la ndoa. Kumekuwepo kuchokana kwa wawili walio katika ndoa na kufanya mmojawapo ajaribu kutafuta kuridhishwa nje ya ndoa. Jamii yahitaji kuelimishwa juu ya kuridhishana katika ndoa kwani itafikia mahali ndoa itakuwa ni ya jina tuu.

Kinachoshangaza ni kuwa wahusika hubadilika baada ya kufunga ndoa au baada ya makubaliano ya kuoana.Nakaribisha elimu juu ya hili.
 

Kweli baba,,, kweli tena saana.
Hapa tujadili NGONO YA WIZI INANOGA?
Mi nasema tena sana
 
Kweli baba,,, kweli tena saana.
Hapa tujadili NGONO YA WIZI INANOGA?
Mi nasema tena sana
Kumbe kama mnaona inanoga na kuifagilia kwa saaaaana, iweje humu ndani watu wanalialia wamemegewa na wanahasira kuliko - kiasi cha kupandisha munkari na kuwaacha wake/wapenzi wao?
Kwani huo wizi mnaufanya na nani?

Kwanini wanaofurahia wasione ni kawaida tu kwenye maisha na kuwa its not abig deal!?WATU WANAKASIRIKA NINI SASA?
 
Tuna tatizo sisi waafrika tunavyochukulia ndoa (heshima za kindoa), na tendo la ndoa kama ni mchezo. Sasa mchezo ni mchezo. Unaweza ukacheza tu kwa uwazi na mwanandoa wako- Jee ndoa itachosha hapo? Mbona wenzetu wazungu haichoshi?
 

WoS usikasirike ni kweli vitu vya wizi ni vitamu! waulize wale wa EPA hela zilivyokwa tamu. Na kumbuka kuwa penye Tamu na Chungu pia huwepo. Mtu anapoiba Penzi iko siku atakamatwa tu na hapo ndo chungu hutokea!

Sikufichi hapa nifanyapo kazi mara nyingi hutoka usiku sana. Kuna jamaa yangu kila wakati lazima umkute na PS wake wamo dimbani tena ofisini. Nikimuuliza jamaa akanambia we acha tu mazee hii kitu ni tamu si mchezo! Kwenye sofa ya ofisi kama si mezani. Haka ka mchezo kakanikumba na demu wa idara moja na mimi,,,,, nakwambia hivi siachi hata unambie nini,,,, ila mamsap anakaribia kugundua hapo cjui tena,,,,ila ni tamu!
 
Mh kuna alosema (simkumbuki) kuwa kwa mwanaume mwanamke mzuri ni yule ambaye hajammega. Kwa mantiki hiyo basi kila siku tuendelee kusikia vilio hivi.

Stolen kisses are sweetest.

Mimi nadhani kule kuzoeana katika ndoa ndiko kunakopunguza ladha ya mapenzi. Watu tunajamiana kwa kuwa ni wajibu wa mume/mke katika ndoa. Hapo utakuta yale manjonjo, ile hamu ya mwanamke kutaka kumwonyesha mwenio kuwa wewe ni zaidi, unajua kukizungusha kiuno mwanakwetu. Wewe unajua mitindo na mengine mengi ambayo ni vinogesho vya tendo hupunguzwa.

Hali kadhalika kwa wanaume ile hali ya kutaka kuonyesha kuwa you are a good lover inapungua so kinachobakia ni mazoea tu. Sasa ukimpata wa nje kama wewe ni mwanaume utataka uonyeshe kuwa wewe ni zaidi ya mtu wa huyo unaecheat naye (kama ni mke wa mtu then unajitutumua kuonyesha kuwa mume wake mbele yako hafui dafu) na kwama wewe ni mwanamke unacheat na mume wa mtu unataka kumhakikishia kuwa wewe ni zaidi ya mkewe.

So mnapokutana katikati lazima tendo liwe zuri na lenye faraja kuliko mazoea ulozoea ndoani kwako.
 

Kwanini sasa ulimtema yule demu wako aliyekuwa anajivinjari na yule kibopa kama ndio ivo? Si ni ukweli wa maisha tu? Na siku mamsap wako akikugundua utafanyaje? samahani lakini maana this is too personal.
 

Nahisi mwanaume ana tendency ya kukariri ule mziki anaopigiwa kila wakipandisha milima na mamaa. Akifikiria kuna mtu mwingine huwa anapigiwa huo mziki lazima atachanganyikiwa. Halafu hivi vi michezo vya siku hizi vya Tigo ndo kabisaa, mtu hawezi ota bwana kwanini mkewe anatoka nje.

Labda ni sababu ya kwenda kugawa Tigo mana ndani ya ndoa inataka roho ngumu kuomba au kugawa Tigo. Ila ninachokiona ni kuwa ndoa nyingi za leo ni ndoa jina tu.Hatuthamini tena values za ndoa wajameni
 
Kwanini sasa ulimtema yule demu wako aliyekuwa anajivinjari na yule kibopa kama ndio ivo?Si ni ukweli wa maisha tu? Na siku mamsap wako akikugundua utafanyaje?samahani lakini maana this is too personal.

Nilimtema maana nilikuwa sijajua utamu wa wizi. Lakini baada ya kujua we! asikwambie mtu. Mamaa akijajua nitakuja huku kuomba ushauri! Si mtanipa ama? Nina MJ1 na WoS, Fidel na Masanilo tooooooooooooosha kabisa.
 
Hic!
Konyagi ya wizi inanoga pia burp!
Enewei ngoja nijaribu kutoka nje ya ndoa kisha nitamwaga ripoti hapa jinsi inavyonoga.... hic!
Kelly upo wapi haaaaniii?
 
Last edited:
Yaani inanichekesha hivi nyie wanaume mnadhani sie hatuumii tunapojua kuwa mnaibia nje? Kwa nini mkasirike sisi tukifanya hivyo? Hata sie tunajiuliza kwata tunalochezeshwa na mwenzangu anachezeshwa hiyo? au unavyonikunja na kunipinda na mwenzangu naye auakunjwa na kupindwa hivyo hivyo au inauma sana. Afadhali mngekuwa mkitoka hamuwarushi kisawasawa ili usije nogewa lakini mh ndio kwanza mnaonyesha hata yale ambayo kwa mkeo hujawahi kuyafanya.

Ila kwa jinsi kasi ya Express yourself inavyoongezeka kwa wale ambao wake ni ngumu kutoa huduma hiyo basi tusahau kama tuna waume maana akikamatwa nje nadhani hawezirudi.
 

Jamani hii express yourself ikoje? Mi nataka nijaribu,,,unaanzaje. Nsije nikazabwa vibao bure.... Mtaalamu Fidel upo? Toa somo hapa.
 
Wana JF tufikie tuache kutetea zinaaa.......kumbukeni ahadi zenu kanisani/msikitini/bomani....u guys mko serious kwenye ndoa kweli kwa maneno haya?
 
Nilikuwa sijui kama weye una jinsia ya jirani
Hic
hic
naweza kuproposo?
nataka kutoka nje hebu uje nikufundishe tunavyowakunja huko barazani
 
Jamani hii express yourself ikoje? Mi nataka nijaribu,,,unaanzaje. Nsije nikazabwa vibao bure.... Mtaalamu Fidel upo? Toa somo hapa.
..Unampiga BRUSH atafungua geti mwenyewe. utaona analazimisha kurudi rivas hapo ndipo penye nafasi ya kushambulia ghafla tena mno.

Unajua kupiga brush wewe??
 
Wana JF tufikie tuache kutetea zinaaa.......kumbukeni ahadi zenu kanisani/msikitini/bomani....u guys mko serious kwenye ndoa kweli kwa maneno haya?

.......... Ni kweli unavyosema Yo yo kuwa tunaonekana kama tunatetea zinaa ila kusema ukweli haya mambo yapo na yanafanyika pamoja na kuwa watu wanaelewa fika ndoa ni nini. Sidhani kama kuna ubaya kujadili na kujaribu kufahamu haya mambo kwani yanatugusa sana kutokana na shuhuda mbalimbali za watu. "Tukisema hatuna dhambi tunajidanganya wenyewe"
 
Wana JF tufikie tuache kutetea zinaaa.......kumbukeni ahadi zenu kanisani/msikitini/bomani....u guys mko serious kwenye ndoa kweli kwa maneno haya?

Hatutetei zinaa tunaongelea zinaa! Wote wafanyao zinaaa wana ndoa zao. Wasio na ndoa wanafanya ngono.
 
Nilimtema maana nilikuwa sijajua utamu wa wizi. Lakini baada ya kujua we! asikwambie mtu. Mamaa akijajua nitakuja huku kuomba ushauri! Si mtanipa ama? Nina MJ1 na WoS, Fidel na Masanilo tooooooooooooosha kabisa.

Mkuu penzi la wizi duhhh taaamu balaa tela lile la chap chap kama unaibia house girl wa mtu mnakaa nyumba mmoja mnaviziana bafuni asubuhi au usiku dah mkuuu yaani utaona siku mbona zinaenda fasta...kama ndo mmeweka timetable weweee balaaa mzee Mangi.
 
Jamani hii express yourself ikoje? Mi nataka nijaribu,,,unaanzaje. Nsije nikazabwa vibao bure.... Mtaalamu Fidel upo? Toa somo hapa.

. kaka kama hujawahi kujaribu nakushauri usianzie kwa mkeo. Tafuta mzoefu ili uweze kujua kama inakufaa au la kama haikufai ishia huko huko wala usimwambie wifi. Ukianza kwa wifi moja kwa moja hukawii kweli kuzabwa kofi likifuatiwa na kunyimwa wiki nzima.... unataka huko karibu na mlango wa kutokea mtoto! Mna matatizo nyie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…